Wageni wa 'ghafla' majumbani mwetu.....

Wageni wa 'ghafla' majumbani mwetu.....

Ili uwe mgeni usiobugh'dhi wageni wako

Toa taarifa mapema kuwa utaenda na usikae kwa muda mrefu

Sometimes mtu unajikuta huna hata cha kuongea nae. Wewe mwenyeji si mtu wa TV, hujui hata umfanye nini mgeni

mgeni hata gazeti hasomi....amekazana kubwabwaja siasa na wewe story za siasa hupendi lol
 
Ila sometimes hawa wageni wanapokuja japo sisi tunachukia pengine lakini hatujui tunawafariji kiasi gani.

Kuna mtu kanitafuta like miaka minne nyuma hivi msichana mmoja, ni kuwa familia yake ilikuwa kwenye wakati mgumu kidogo, akaja kukaa kwetu kwa kama wiki mbili hivi wakati tuko wadogo (tulikuwa na umri wa kama miaka 6 tu)

Yeye anakumbuka coz anasema nilimpa shavu la kutosha na amenitafuta kunishukuru sasa!

So barka zipo kweli :]]
 
MJ stands for what? Michael Jackson, Michael Jordan, Michael Johnson, Military Judge, Mango Juice or simply Marijuana? lol

mango juice lol.....
 
  • Thanks
Reactions: EMT
MJ stands for what? Michael Jackson, Michael Jordan, Michael Johnson, Military Judge, Mango Juice or simply Marijuana? lol

Ukiangalia avatar yake utajua kuwa ni Michael Jordan. Au hujui Michael Jordan anafananaje?
 
Namsikiaga huyo jamaa lakini sijui anafananaje hasa. Labda b'se siko sana kwenye basketball. Lakini Michael Johnson nawajua b'se napenda sprinting na mpira wa miguu.
 
Bwa! ha! ha! ha! Haya bana.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
MJ stands for what? Michael Jackson, Michael Jordan, Michael Johnson, Military Judge, Mango Juice or simply Marijuana? lol

Hahahahah lol! Hizi initials zinaweza kabisa kumchanganya mtu....ni Michael Jordan au kwa jina maarufu Air Jordan
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Hahahahah lol! Hizi initials zinaweza kabisa kumchanganya mtu....ni Michael Jordan au kwa jina maarufu Air Jordan

Hivi Hasheem Thabeet vipi? Bado anapiga mechi?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
na wasiwasi dogo baada ya lock out ataishia china hivi ikawa ndo basi...

Hata China sijui kama watamtaka huyu. Dogo angejituma angejijengea jina kubwa sana lakini kwenye miti hakuna wajenzi. Kaichezea bahati yake yake sijui kama ataipata tena.
 
yaani hii lock out itaondoka na wengi kweli....
 
China tena? Noma.

Kuna ngawira kule Mkuu ingawaje hazijafikia za NBA....na kwa kuwa dogo hakuwahi kujijengea jina sidhani hata kama akienda kule watakuwa tayari kumpa pochi kubwa.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
yaani hii lock out itaondoka na wengi kweli....

Wengine wenye Baba zao na Mama zao maisha yameshaanza kuwashinda na kuamua kurudi nyumbani kudeka...kisa pesa zimeota mbawa.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Hata China sijui kama watamtaka huyu. Dogo angejituma angejijengea jina kubwa sana lakini kwenye miti hakuna wajenzi. Kaichezea bahati yake yake sijui kama ataipata tena.

Nilisoma somewhere eti katika historia ya NBA ndiye mchezaji wa ngazi ya juu kabisa kupelekwa NBA Development League? Ni sawa na Torres awe loaned out toka Premiership kwenda the lowest league?
 
Ni kweli Mkuu, haijawahi kutokea.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom