AiseeMie nafugaga hii mijibwa ya uswazi (koko)
Yenyewe hayana gharama ya misosi maana yanakula chochote yanachokiona hata mavi ya walevi.!
Halafu wakiwa wengi huwa tunaua kisha tunawachuna na kuwapelekea wauza supu wa bar wao huchanganya na nyama ya mbuzi ili kuleta kale kaharufu ka kimbuzimbuzi kisha hupikwa supu na kuuziwa wateja.
Huu ufugaji wa mbwa sio wa kispot spot, maisha yangu ndio leo nasikia dog azimuliwa na wine, ila siku moja jaribu whisky uone itakuajeGanja lazima nikimoka wakiskia harufu tu lazima waje nilipo ,sasa huwa siwavutishi ila nawapulizia moshi ,wanasizi halafu nawazibua na wine dah ,hawa mbwa nikifa watapata tabu sana ,lazima wawe rebellious kwa watakao baki ,wana enjoy life style nayowapa
Hii ndio hatari.-Siyo wazuri ukiwa na watoto wadogo,
Ni cross hao lakini unaweza kujionea mwenyewe walivyo good quality..
Bei ni nafuu hasa kwa mtanzania wa kawaida. View attachment 925382View attachment 925383
Nchi nyingine pitbul kumfuga mpaka upate kibali serikalini.Take care anamzoea anayemlisha tu na siku ukibadili menu anakuadhibu na kama una mtoto mdogo asije geuzwa mboga.Sikukatishi tamaa ila jihakikishie mazingira yako na uwezo wako.Uswahilini hutamuweza hakikisha una geti kali.Hawa mbwa sio wala rushwa TAKUKURU kwa maana hiyo mhalifu hawezi kumtupia kipande cha nyama kumlaghai afanye uhalifuNapenda kufuga Pitbull ila nasikia ni hatari sana unaweza ukapata kesi ya mauaji ngoja niendelee kufuga hawa wala "NYA".
Hatari sana MzeeMeko sitaki kufuga hao ni more than dangerous.Nchi nyingine pitbul kumfuga mpaka upate kibali serikalini.Take care anamzoea anayemlisha tu na siku ukibadili menu anakuadhibu na kama una mtoto mdogo asije geuzwa mboga.Sikukatishi tamaa ila jihakikishie mazingira yako na uwezo wako.Uswahilini hutamuweza hakikisha una geti kali.Hawa mbwa sio wala rushwa TAKUKURU kwa maana hiyo mhalifu hawezi kumtupia kipande cha nyama kumlaghai afanye uhalifu
Sent using Jamii Forums mobile app
waweza kutembelea maduka ya madawa ya wanyama watakushauri, kuna dawa ya unga unga inaweza kumsaidiaMbwa wangu Ana mwezi na wiki Mona mdogo na Ana viroboto nimpeleke wapi akapate dawa/tiba soon, nipo mwanza mjini hapa
wale ni hatari sanaHatari sana MzeeMeko sitaki kufuga hao ni more than dangerous.
waweza kutembelea maduka ya madawa ya wanyama watakushauri, kuna dawa ya unga unga inaweza kumsaidia
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta dawa inaitwa tiki tiki ya maji ni nyeupe ndani. Ongesha na sabuni au shampoo ya mbwa then kuna kipimo utapewa uweke kwenye maji lt 20 inategemea na mbwa wapo wangapi unawamwagia kila kona then unapulizia bandani na sehem wanayokaa mara kwa maraMbwa wangu Ana mwezi na wiki Mona mdogo na Ana viroboto nimpeleke wapi akapate dawa/tiba soon, nipo mwanza mjini hapa
Tafuta dawa inaitwa tiki tiki ya maji ni nyeupe ndani. Ongesha na sabuni au shampoo ya mbwa then kuna kipimo utapewa uweke kwenye maji lt 20 inategemea na mbwa wapo wangapi unawamwagia kila kona then unapulizia bandani na sehem wanayokaa mara kwa mara
Sent using Jamii Forums mobile app