Wafugaji wa mbwa kibiashara au ulinzi tukutane hapa

KingY

KingY

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2018
Messages
5,004
Points
2,000
KingY

KingY

JF-Expert Member
Joined May 22, 2018
5,004 2,000
Mpendwa mwana jf, unaweza kushangaa kusikia kuwa mbwa ni biashara nzuri kupita hata kufuga ng'ombe kibiashara na ukashangaa.

Uzi huu utakuwa ni maalum katika kupeana uzoefu katika biashara hii ya kufuga mbwa kwa lengo la kujipatia kipato na ulinzi pia.

Tutajifunza aina bora na inayohimili mazingira yetu hasa Tanzania na Afrika mashariki kwa ujumla.
Hivyo mdau ikiwa wewe ni mfugaji wa wanyama hawa kibiashara, nakukaribisha sana utupatie uzoefu juu ya aina mbali mbali mfano;

a) German shephard
b) Belgian shephard
c) Bull dog
d) Rottweiler
e) Ridge back nk

mambo muhimu ya kupeana uzoefu;
1) banda/ nyumba bora ya kufugia
2) chanjo
3) Masoko nk

1-threequartersitting-jpg.916841
german-shepherd-on-white-00-jpg.916842
rotties-jpg.916844
Ni nakukaribisha utupe uzoefu wako na kwa wale wanaotamani kujifunza mnakaribishwa kwa maswali na wadau watakujibu
Maelezo ya German Shepherd hapa

Maelezo ya Belgian Shepherd hapa
 

Forum statistics

Threads 1,315,050
Members 505,131
Posts 31,846,456
Top