Wafugaji wa mbwa kibiashara au ulinzi tukutane hapa

Nina gsd puppies, na rottweilers puppy, na hawa maltese pia wapo. Bei nzuri tu kutokana na quality yao. Na wakubwa wapo pia. 0744898813 nipo whatsapp
 
Kuna jamaa anawauza hao mbwa
1. Aina: German Shephard
2. Idadi: wawili
3. Jinsia: Dume na Jike ( dume ana miezi 8 na jike miezi 10)
4. Chanjo: wamepata zote
5. Wanapatikana: Kigamboni
6: Siku anazopatikana: Jumapili sana japo Jmosi kwa appointment
7: Bei: Alianzia laki 7 mazungumzo yapo
8: Hali yao kiafya, tabia na ukali: kiafya wapo vema sana, kitabia ni watiifu kwani wana mafunzo, ukali ni wakali sana. Ana tarajia kupata idadi ya mbwa wwngine kwn wanakaribia kuzaa.
9: Mm binafsi aliniuzia mbwa mmoja hv sina uhakika kama pure BM lkn mkali sana na kapanda sana. Mm sio dalali, nimefanya hv usamaria mwema tu, kwn aliniletea na hawa wawili, nikaona siwezi kuwa na mbwa wanne gharama za kuwalisha kubwa. Hivyo akaomba nimtangazie ktk social platforms
Mawasiliano: 0755411455

Note: hy mweusi asie na mkia hauzwi ameingia kimakosa
received_287417661895940.jpeg
received_351041035644973.jpeg
received_359326008147137.jpeg
received_700164677031754.jpeg
received_570066476759962.jpeg
 

Attachments

  • received_359326008147137.jpeg
    received_359326008147137.jpeg
    34.4 KB · Views: 134
  • received_287417661895940.jpeg
    received_287417661895940.jpeg
    17.4 KB · Views: 136
Mie nafugaga hii mijibwa ya uswazi (koko)
Yenyewe hayana gharama ya misosi maana yanakula chochote yanachokiona hata mavi ya walevi.!
Halafu wakiwa wengi huwa tunaua kisha tunawachuna na kuwapelekea wauza supu wa bar wao huchanganya na nyama ya mbuzi ili kuleta kale kaharufu ka kimbuzimbuzi kisha hupikwa supu na kuuziwa wateja.
Aisee
 
Ganja lazima nikimoka wakiskia harufu tu lazima waje nilipo ,sasa huwa siwavutishi ila nawapulizia moshi ,wanasizi halafu nawazibua na wine dah ,hawa mbwa nikifa watapata tabu sana ,lazima wawe rebellious kwa watakao baki ,wana enjoy life style nayowapa
Huu ufugaji wa mbwa sio wa kispot spot, maisha yangu ndio leo nasikia dog azimuliwa na wine, ila siku moja jaribu whisky uone itakuaje
 
Napenda kufuga Pitbull ila nasikia ni hatari sana unaweza ukapata kesi ya mauaji ngoja niendelee kufuga hawa wala "NYA".
Nchi nyingine pitbul kumfuga mpaka upate kibali serikalini.Take care anamzoea anayemlisha tu na siku ukibadili menu anakuadhibu na kama una mtoto mdogo asije geuzwa mboga.Sikukatishi tamaa ila jihakikishie mazingira yako na uwezo wako.Uswahilini hutamuweza hakikisha una geti kali.Hawa mbwa sio wala rushwa TAKUKURU kwa maana hiyo mhalifu hawezi kumtupia kipande cha nyama kumlaghai afanye uhalifu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nchi nyingine pitbul kumfuga mpaka upate kibali serikalini.Take care anamzoea anayemlisha tu na siku ukibadili menu anakuadhibu na kama una mtoto mdogo asije geuzwa mboga.Sikukatishi tamaa ila jihakikishie mazingira yako na uwezo wako.Uswahilini hutamuweza hakikisha una geti kali.Hawa mbwa sio wala rushwa TAKUKURU kwa maana hiyo mhalifu hawezi kumtupia kipande cha nyama kumlaghai afanye uhalifu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hatari sana MzeeMeko sitaki kufuga hao ni more than dangerous.
 
Mbwa wangu Ana mwezi na wiki Mona mdogo na Ana viroboto nimpeleke wapi akapate dawa/tiba soon, nipo mwanza mjini hapa
 
Kwa Matibabu, Chanjo, Chakula, na Ushauri juu ya Mbwa na Paka, kua huru kuwasiliana na “SIPY VETERINARY CENTER” 0764667503 -KINYEREZI MBUYUNI DSM, tunakufikia popote pale ulipo na huduma bora kabisa
 
Mbwa wangu Ana mwezi na wiki Mona mdogo na Ana viroboto nimpeleke wapi akapate dawa/tiba soon, nipo mwanza mjini hapa
Tafuta dawa inaitwa tiki tiki ya maji ni nyeupe ndani. Ongesha na sabuni au shampoo ya mbwa then kuna kipimo utapewa uweke kwenye maji lt 20 inategemea na mbwa wapo wangapi unawamwagia kila kona then unapulizia bandani na sehem wanayokaa mara kwa mara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natafuta Rottweiler au hata bulldog au Pitbull hata kama ni cross wa mtaani/ not pure breed
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom