Wafuatao wana kesi ya kujibu

Last edited by a moderator:
Umemsahau LiverpoolFC pamoja na sweetlady

Nashukuru jana tulimaliza kikao salama,by saa saba na nusu wengi wetu tulikuwa home!!
Tulikuwa na taarifa za kiinteligensia kwamba polisi jamii huwa wanaanza kazi saa 8 usiku!!
Aisee marejesho
Tunashukuru sn kwa kumfuatilia kila mmoja kama alifika salama usiku ule mnene.

Nakumbuka kupata simu yako saa 10.00 za usiku, nilikuwa naogopa kuipokea, lakini nashukuru ulinitoa wasiwasi kuwa shemegi alikuwa safarini.
 
Last edited by a moderator:
Hahaaaaa Nicas Mtei! Mkuu nilipewa jukumu la kumsindikiza Kabakabana (a.k.a. Dorcas Mosses wa Jf), nimefika mahali nilipopaki gari nikakumbuka uchochoro wa kamanda Barlow, lakini kwa kuwa mi mwenyewe polisi jamii nilimfikisha salama, nikatoka salama, nikafika home salama.

hahahaha. Erickb52 alikubali umcndkze Kabakabana? Alidai kuwa yeye ndo amechukua jukumu la kumcndkiza Kaba had home
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Aisee marejesho
Tunashukuru sn kwa kumfuatilia kila mmoja kama alifika salama usiku ule mnene.

Nakumbuka kupata simu yako saa 10.00 za usiku, nilikuwa naogopa kuipokea, lakini nashukuru ulinitoa wasiwasi kuwa shemegi alikuwa safarini.

Shemeji yupi huyo! Mbona mimi sijasafiri!?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom