Wafuatao wana kesi ya kujibu

Nicas Mtei

JF-Expert Member
Dec 21, 2010
11,556
7,085
Mungi, marejesho, Preta, PakaJimmy Arushaone Filipo Blaki Womani, Kabakabana, Erickb52. LiverpoolFC sweetlady Wapo wengine hawakuorodhesha majina katika kitabu cha mahudhurio ila inabid wapewe taarifa kuwa wana kesi ya kujibu.

Kosa lao kubwa ni kufanya kikao cha harusi mpaka mida ambayo polisi jamii hawataki. Hatari iliyokuwa inawakabili ni kukutana na majambazi watano.

Inabid watoe maelezo zaidi pia wapewe onyo la kutofanya tena kikao cha harusi mida ya usiku. Hatujasahau yaliyojiri Mwanza.
 
Last edited by a moderator:
Umemsahau LiverpoolFC pamoja na sweetlady

Nashukuru jana tulimaliza kikao salama,by saa saba na nusu wengi wetu tulikuwa home!!
Tulikuwa na taarifa za kiinteligensia kwamba polisi jamii huwa wanaanza kazi saa 8 usiku!!

hahaha. Hao waliorodhesha majina yao kwenye kitabu cha Mahudhurio? Mungi hakuamua kukusindikiza?
 
Last edited by a moderator:
hahaha. Hao waliorodhesha majina yao kwenye kitabu cha Mahudhurio? Mungi hakuamua kukusindikiza?

Mungi hakunisindikiza maana tulihofia polisi jamii.
Leo kwa vile Babu Asprin anatia timu huku tutajitahidi naye kumuorodhesha katika kitabu cha mahudhurio na tunaahidi kumlinda dhidi ya polisi jamii
 
Last edited by a moderator:
hakuna kesi ya kujibu hapa......kwa sababu hatukukutana na polisi jamii......na hakuna hata mmoja aliyechomwa na kitu chenye ncha kali.......

Preta hicho kitu chenye ncha kali kikoje ili nijiepushe siku nikihudhuria kikao cha harusi mida ya usiku nisikutane nacho.
 
Last edited by a moderator:
Preta hicho kitu chenye ncha kali kikoje ili nijiepushe siku nikihudhuria kikao cha harusi mida ya usiku nisikutane nacho.

Na mara nyingi hicho kitu chenye ncha kali wewe huwezi kukiona!!Ila kinatajwa sana status ya mtu ikishabadilika na kuitwa 'Marehemu'
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom