Wafuatao wana kesi ya kujibu

Umesahauje jamani,
tena msipende kuwasindikiza wajane baada ya vikao.

Kuwasindikiza sio vibaya. Vibaya ni kuingia kwenye vichochoro vya uswazi. Pia ukiwawashia full wale polisi jamii wanakupga pistol
 
Kuwasindikiza sio vibaya. Vibaya ni kuingia kwenye vichochoro vya uswazi. Pia ukiwawashia full wale polisi jamii wanakupga pistol

Hawakupigi na pistol mkuu, ila watakurushia kitu chenye ncha kali hahaaaaaa!
 
Na yanakataza kula na kulala kwenye nyumba za wajane,
sijui kama Asprin anayajua hayo maandiko.

Mmmhh Mamndenyi usitufundishe roho mbaya, manake hata maandiko matakatifu yanatufundisha kuwasaidia yatima, na WAJANE, bila kusahau kuwatembelea wagonjwa
 
Na yanakataza kula na kulala kwenye nyumba za wajane,
sijui kama Asprin anayajua hayo maandiko.
Mamndenyi mjane ni tofauti na wake za watu, tunashauriwa kula mke wa mtu kwa akili, ukijifanya mjinga ukamla halafu umsindikize mpaka home kwake unakutana na polisi jamii.
Kama mjane anahitaji huduma ya kulala/kukesha ni ruksa kabisa. ndio kuwasaidia na kuwatatulia shida zao.
Babu Asprin anajua kabisa, akija huku kwetu nadhani ukaguzi wake unaanzia kwa wajane, halafu wanafuatia wengine.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom