Wafuatao wana kesi ya kujibu

Wafuatao wana kesi ya kujibu

hata mie mmeniacha feri wakuu! Kikao gan? Kilifanyika wapi?dhumuni la kikao nin? Kiliisha saa ngapi?naomba nijuzwe Preta et al il twende sawa
 
Last edited by a moderator:
Mungi hakunisindikiza maana tulihofia polisi jamii.
Leo kwa vile Babu Asprin anatia timu huku tutajitahidi naye kumuorodhesha katika kitabu cha mahudhurio na tunaahidi kumlinda dhidi ya polisi jamii

Hahaha. Babu Asprin asisahau kubeba helmet
 
Last edited by a moderator:
Mi nilipo maliza nikapanda ungo nikarudi,huko juu ni kupambana na maombi ya walokole,fisi,manyau nyau...hata waki rusha UFO...haitanipata...vichochoro vyangu ni Mawingu Meusi.
 
Wewe ulimcndkza nani? Hamkukutana na the so called majambawazi?

Wewe Nicas Mtei mimi si unanijua huwa siachi kutembea na ile .38 kiunoni? Alete mtu za kuleta; hakuna cha intelijensia wala friendly fire nalipua ubongo wa kiumbe kinakuwa marehemu fasta.
 
Last edited by a moderator:
Wewe Nicas Mtei mimi si unanijua huwa siachi kutembea na ile .38 kiunoni? Alete mtu za kuleta; hakuna cha intelijensia wala friendly fire nalipua ubongo wa kiumbe kinakuwa marehemu fasta.

hahahaha. Ila wale jamaa wanaoitwa majambaz wanaweza kukuwahi.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom