Nyie watu hapo Juu, nawashangaa sana mmeshindwa kutoa HADIDU ZA REJEA za kikao cha jana.
Preta pamoja na kukaimu nafac ya Mzee wa Rula umechemka mbaya jamaangu aisee.
Mi nikiwa njiani nilisahau kuangalia saa, kumbe ikawa saa 8.10 aisee nikaona Bandidu likinifuatilia kwa nyuma, ikabidi nipige redio-kolu.
Umesahau mabandidu tuliyoyakuta pale Daraja-Sita, na ikabidi tum-DIPU DisiAi?
Filipo nilifika salama na marejesho alifika salama pia, hope hata Blaki Womani hajambo! Salamu zangu kwa PakaJimmy Preta (mwaaaaah) Kabakabana (miss u) Mungi (mambo)
MENTION=33086]Liverpool[/MENTION] (leo wapi?
sweetlady (dah....) Arushaone (pamoja)
Hv jamani siku hizi mambo ndiyo yanaenda hivi?
Bila shaka sasa itabidi tukakae anga zenye miinuko tusimulikwe tena kihivi!
Mmmmmhh!
Watu wasione kitu??
Nicas Mtei funguka!
Mungi, marejesho, Preta, PakaJimmy Arushaone Filipo Blaki Womani, Kabakabana, Erickb52. LiverpoolFC sweetlady Wapo wengine hawakuorodhesha majina katika kitabu cha mahudhurio ila inabid wapewe taarifa kuwa wana kesi ya kujibu.
Kosa lao kubwa ni kufanya kikao cha harusi mpaka mida ambayo polisi jamii hawataki. Hatari iliyokuwa inawakabili ni kukutana na majambazi watano.
Inabid watoe maelezo zaidi pia wapewe onyo la kutofanya tena kikao cha harusi mida ya usiku. Hatujasahau yaliyojiri Mwanza.
Pj,Mzee wa Rula,Filipo,LiverpoolFC,Preta,Mungi, Saharavoice na Crashwise ningependa sana msinitenge tena ktk makutano yenu ya hapa town.
Ninaboreka sana! Ntakuwa nanyi A to Z!
Hapa ndiyo A town jamani!
Erickb52 anawaogopa polisi jamii, ukizingatia kuna ka uchochorohahahaha. Erickb52 alikubali umcndkze Kabakabana? Alidai kuwa yeye ndo amechukua jukumu la kumcndkiza Kaba had home
Heheheheheee measkron humfahamu Amyner ?Erickb52 natumaini hao kina dada eliza Dominic na mwanangu charminglady wewe ni rafiki tu na si zaidi ya hapo maana mwanangu charminglady nilishamwozesha kwa C6 na mungu akijalia mie na mume wangu kipenzi watu8 tutakuwa babu na bibi soon, huyo babu Asprin asidhani yeye ndo babu mwenyewe humu jukwaani