Wachungaji mnaofufua watu kwanini msiungane kumfufua Nyerere afufuke ajionee haya mambo yanayotendeka sasa hivi.
Fundi mwashi ana tabu kweli
very interesting.... hasa ile ya Mzee mzima 6 pale UDSM.
Nasikia ni baba yako mzazi, ni kweli?
Mtakatifu Julius Nyerere hata sahaulika kwa hayo
R.I.P the hero of Africa
mkuu. hivi mzee mtei alivyoisaliti nchi kwa kukataa kupigania uhuru wa nchi alipewa adhabu gani
Hata sahaulika kwa dhulma aliofanya!
Na mauaji aliyo sababisha!
Wazee wameliwa na wanyama pori! Kwa sababu huyo Nyerere alio laaniwa aliwafukuza ktk majumba yao na kuwahamishia maporini KWA NGUVU! wakati yeye na mkewe wanagegedana kule butiama kwa raha zao!
Usinichafue saa hizi hapa! Kwa kumsifu Muuwaji MBAGUZI. MDINI MMOJA alikufa na laana za mamilioni ya watu!
Na nina haki hivi sasa yuko JEHANNAMU YA MOTO ANAPIGA YOWE OVYO pamoja na kina FERAUNI!
Yeriko Nyerere siyo wewe pekee unayemkumbuka Nyerere, angekuwepo hakika haya makabila makubwa kama WACHAGGA wasingetusumbua na siasa zao za Ukanda na serikali tatu.
Imani yako inakuagiza kuwafanyia nini Marehemu?
Najaribu kufikiri sanaaaaaa
TUNAKUMISS SANA J.K.NYERERE
1. Idd Amini - Alipoivamia Tz....Mwalimu alitamka tutampiga
nduli!.. Na kweli Idd Amini alipigwa
hadi akaikimbia Uganda.......
2. Kolimba - Alipotamka CCM
imepoteza Dira na Mwelekeo...Mwalimu alimwita Dodoma akamuuliza nani kakutuma useme hivyo?!.. Ndio ukawa mwisho wa Kolimba!..
3. Samweli Sitta - Alipokuwa
kiongozi wa serikali ya wanafunzi pale UDSM aliongoza mgomo wa
wanafunzi wenzake kudai siagi na maziwa!... Mwalimu aliibuka pale chuoni akamuuliza Samweli
Samweli kwenu mnakunywa maziwa
kweli?!.. Akamwambia lala chini, akamcharaza bakora na mgomo ukaishia hapo hapo!...
4. Abdul Jumbe! - Alipotaka serikali tatu!.. Nyerere alimuuliza moja kujumlisha moja ni ngapi?!.. Jumbe
akajibu ni mbili!.. Nyerere
akamwambia kama ni mbili mbona unataka serikali tatu?!.. Huo ndio ukawa mwisho wa Abdul Jumbe
kuwa Rais wa Zanzibar!..
5. John Samwel Malecela - Ni baada ya taarifa kuzagaa kuwa amebadili dini na jina ili apate kuungwa mkono na nchi za kiislamu kugombea Urais mwaka 1995!..Nyerere alimwambia wee John wewe umeenda Arabuni mara moja umebadilisha jina sasa unaitwa Jumanne!. Ukienda mara ya pili si utabadilisha kabila?!... Huo ukawa mwisho wa ndoto zake kuwa Rais wa Tz !...
6. Edward Lowassa-Alipokodi
ndege binafsi ikampeleka hadi dodoma kwenye vikao vya mchujo wa wagombea Urais kupitia CCM mwaka 1995 alimpa lift JK!..Nyerere alimuuliza mmekuja na Ndege dodoma pesa mmetoa wapi?!.. Jina la Lowassa likakatwa kabla ya vikao vya mchujo!..
Wakamuuliza Nelson Mandela,tukupe nini ili uache usumbufu na harakati zako,wakampa cheki
ajiandikie kiasi cha fedha,yeye akaigeuza kwa nyuma akaandika UHURU NA
USAWA WA WATU WANGU-
Hakuna tena mfano wa viongozi hawa siku hizi.
Kwahisani ya mtu wa BKM2015
Mtakatifu Julius Nyerere hata sahaulika kwa hayo
mkuu. hivi mzee mtei alivyoisaliti nchi kwa kukataa kupigania uhuru wa nchi alipewa adhabu gani
Hapo kwenye red sijui MM aliandika ngapi!Wakamuuliza Nelson Mandela,tukupe nini ili uache usumbufu na harakati zako,wakampa cheki
ajiandikie kiasi cha fedha,yeye akaigeuza kwa nyuma akaandika UHURU NA
USAWA WA WATU WANGU-
Hakuna tena mfano wa viongozi hawa siku hizi.
Kwahisani ya mtu wa BKM2015