Wafuatao waliwahi kukutana uso kwa uso na busara na hasira za Mwalimu Nyerere!..

mbowe na slaa wangeulizwa walipo zipata chopa 3 na wapiwalipo wanandoa wa ujana wao. wangelazwa chini pale ufipa wangepigwa saana hadi kuvimba makalio chezea bakora za teacher jurius

Hata wewe ungeulizwa umetoa wapi hii maneno yako.
 
Najaribu kufikiri sanaa atakuwa wapi tunayemmiss sipati jibu labda....let him be wherever he is
Hell.jpg
 
Mimi najaribu kumfikiria mtani wangu William J. Malecela, kwanini haweki lile jina la kati la JUMANNE hadharani badala yake anaishia kujiita W. J. Malecela?
 
Last edited by a moderator:
Kwa nia njema tu, nakusahihisha kidogo tu mkuu,kolimba alihojiwa katika utawala wa mwinyi sio nyerere.ila mengine yote big up.

Na mimi nakusahihisha tu, Kolimba aliitwa kuhojiwa na kamati kuu ya CCM chini ya Bwnjamini Wiliam Mkapa, Ilikuwa 1995-2000
 
Yeriko Nyerere siyo wewe pekee unayemkumbuka Nyerere, angekuwepo hakika haya makabila makubwa kama WACHAGGA wasingetusumbua na siasa zao za Ukanda na serikali tatu.
tunawashukuru sana jf kwa kuvumilia post za kijinga kama hii .
 
Wakamuuliza ZITTO,tukupe nini ili uache usumbufu na harakati zako,wakampa cheki ajiandikie kiasi cha fedha, NA HAPO NDIPO USALITI KWA CDM NA WAZALENDO ULIPOANZA. hAKUNA KAMA MANDELA NA NYERERE HAWA JAMAA WALIKUWA MANABII
 
duuuh nimecheka sana mkuu,
 
mbowe na slaa wangeulizwa walipo zipata chopa 3 na wapiwalipo wanandoa wa ujana wao. wangelazwa chini pale ufipa wangepigwa saana hadi kuvimba makalio chezea bakora za teacher jurius
Embu kuwa na Adabu na uandike vizuri jina la Baba wa Taifa!
 
Wewe ndo ----- kabisa. Nakusahihisha ------ wewe. Anaitwa. Aboud Jumbe. Chizi kweli. Unajifanya unajua kumbe bichwa lako liko tupu.
 
Back
Top Bottom