Wafuatao waliwahi kukutana uso kwa uso na busara na hasira za Mwalimu Nyerere!..

Kuna ambae hakati roho......

"Everyone dies alone. But if you mean something to someone…
if you help someone or love someone, and even a single person remembers you… then maybe you never really die at all"
Person of Interest return 0

Kila mtu atakatwa
 
1. Idd Amini - Alipoivamia Tz.... Mwalimu alitamka tutampiga
nduli!.. Na kweli Idd Amini alipigwa hadi akaikimbia Uganda....
2. Kolimba - Alipotamka CCM imepoteza Dira na Mwelekeo...
Mwalimu alimwita Dodoma akamuuliza nani kakutuma useme
hivyo?!.. Ndio ukawa mwisho wa Kolimba!..
3. Samweli Sitta - Alipokuwa kiongozi wa serikali ya
wanafunzi UDSM aliongoza mgomo wa wanafunzi wenzake
kudai siagi na maziwa!... Mwalimu aliibuka pale chuoni
akamuuliza Samweli Samweli kwenu mnakunywa maziwa
kweli?!.. Akamwambia lala chini, akamcharaza bakora na
mgomo ukaishia hapo hapo!...
4. Abdul Jumbe! - Alipotaka serikali tatu!.. Nyerere alimuuliza
moja kujumlisha moja ni ngapi?!.. Jumbe akajibu ni mbili!..
Nyerere akamwambia kama ni mbili mbona unataka serikali
tatu?!.. Huo ndio ukawa mwisho wa Abdul Jumbe kuwa Rais
wa Zanzibar!..
5. John Samwel Malecela - Ni baada ya taarifa kuzagaa kuwa
amebadili dini na jina ili apate kuungwa mkono na nchi za
kiislamu kugombea Urais mwaka 1995!.. Nyerere alimwambia
wee John wewe umeenda Arabuni mara moja umebadilisha
jina sasa unaitwa Jumanne!. Ukienda mara ya pili si
utabadilisha kabila?!... Huo ukawa mwisho wa ndoto zake
kuwa Rais wa Tz !...
6. Edward Lowassa - Alipokodi ndege binafsi ikampeleka hadi
dodoma kwenye vikao vya mchujo wa wagombea Urais kupitia
CCM mwaka 1995 alimpa lift JK!.. Nyerere alimuuliza
mmekuja na Ndege dodoma pesa mmetoa wapi?!.. Jina la
Lowassa likakatwa kabla ya vikao vya mchujo!...
Natamani Nyerere angekuwepo sasa na mwaka 2020!!....
hapo kwenye akaibuka udsm
 
Nasikia Kolimba aliitwa kamati kuu Dodoma,baada ya kikao kesho yake aliamka maiti. Nyerere alikuwa dictator miaka 23 ikulu tena mfululizo.
 
1. Idd Amini - Alipoivamia Tz.... Mwalimu alitamka tutampiga
nduli!.. Na kweli Idd Amini alipigwa hadi akaikimbia Uganda....
2. Kolimba - Alipotamka CCM imepoteza Dira na Mwelekeo...
Mwalimu alimwita Dodoma akamuuliza nani kakutuma useme
hivyo?!.. Ndio ukawa mwisho wa Kolimba!..
3. Samweli Sitta - Alipokuwa kiongozi wa serikali ya
wanafunzi UDSM aliongoza mgomo wa wanafunzi wenzake
kudai siagi na maziwa!... Mwalimu aliibuka pale chuoni
akamuuliza Samweli Samweli kwenu mnakunywa maziwa
kweli?!.. Akamwambia lala chini, akamcharaza bakora na
mgomo ukaishia hapo hapo!...
4. Abdul Jumbe! - Alipotaka serikali tatu!.. Nyerere alimuuliza
moja kujumlisha moja ni ngapi?!.. Jumbe akajibu ni mbili!..
Nyerere akamwambia kama ni mbili mbona unataka serikali
tatu?!.. Huo ndio ukawa mwisho wa Abdul Jumbe kuwa Rais
wa Zanzibar!..
5. John Samwel Malecela - Ni baada ya taarifa kuzagaa kuwa
amebadili dini na jina ili apate kuungwa mkono na nchi za
kiislamu kugombea Urais mwaka 1995!.. Nyerere alimwambia
wee John wewe umeenda Arabuni mara moja umebadilisha
jina sasa unaitwa Jumanne!. Ukienda mara ya pili si
utabadilisha kabila?!... Huo ukawa mwisho wa ndoto zake
kuwa Rais wa Tz !...
6. Edward Lowassa - Alipokodi ndege binafsi ikampeleka hadi
dodoma kwenye vikao vya mchujo wa wagombea Urais kupitia
CCM mwaka 1995 alimpa lift JK!.. Nyerere alimuuliza
mmekuja na Ndege dodoma pesa mmetoa wapi?!.. Jina la
Lowassa likakatwa kabla ya vikao vya mchujo!...
Natamani Nyerere angekuwepo sasa na mwaka 2020!!....

7. Jiwe nyumba ulimuuzia nani nani?Na je ulitaka watu wapige mbizi?

jina la Jiwe lingekatwa ungekuta saivi amerudi kufundisha chemistrty
 
Mshamba tena wa kijijini.Hakuna jina la Abdul Jumbe aliyetaka serikali tatu.
JF unawatoa wapi washamba hawa ?
 
1. Idd Amini - Alipoivamia Tz.... Mwalimu alitamka tutampiga nduli!.. Na kweli Idd Amini alipigwa hadi akaikimbia Uganda....

2. Kolimba - Alipotamka CCM imepoteza Dira na Mwelekeo... Mwalimu alimwita Dodoma akamuuliza nani kakutuma useme hivyo?!.. Ndio ukawa mwisho wa Kolimba!..

3. Samweli Sitta - Alipokuwa kiongozi wa serikali ya wanafunzi UDSM aliongoza mgomo wa wanafunzi wenzake kudai siagi na maziwa!... Mwalimu aliibuka pale chuoni akamuuliza Samweli Samweli kwenu mnakunywa maziwa kweli?!.. Akamwambia lala chini, akamcharaza bakora na mgomo ukaishia hapo hapo!...

4. Abdul Jumbe! - Alipotaka serikali tatu!.. Nyerere alimuuliza moja kujumlisha moja ni ngapi?!.. Jumbe akajibu ni mbili!.. Nyerere akamwambia kama ni mbili mbona unataka serikali tatu?!.. Huo ndio ukawa mwisho wa Abdul Jumbe kuwa Rais wa Zanzibar!..

5. John Samwel Malecela - Ni baada ya taarifa kuzagaa kuwa amebadili dini na jina ili apate kuungwa mkono na nchi za kiislamu kugombea Urais mwaka 1995!.. Nyerere alimwambia wee John wewe umeenda Arabuni mara moja umebadilisha jina sasa unaitwa Jumanne!. Ukienda mara ya pili si utabadilisha kabila?!... Huo ukawa mwisho wa ndoto zake kuwa Rais wa Tz !...

6. Edward Lowassa - Alipokodi ndege binafsi ikampeleka hadi dodoma kwenye vikao vya mchujo wa wagombea Urais kupitia CCM mwaka 1995 alimpa lift JK!.. Nyerere alimuuliza mmekuja na Ndege dodoma pesa mmetoa wapi?!.. Jina la Lowassa likakatwa kabla ya vikao vya mchujo!...

Natamani Nyerere angekuwepo sasa na mwaka 2015!!......
Nyerere angekuwepo 2015 ,mumiani anayesumbua nchi sasa hivi wala asingetia mguu mjengoni .
 
Back
Top Bottom