habari ndo hiyo. Au unadhani kuna mwisho mwingine wa lowassa?ha! Ha! Ha! Ha! Kwa hiyo baada ya lowasa kuulizwa alikopata hela ya kukodi ndege ndiyo ukawa mwisho wake ?
Ha! Ha! Ha! Ha! Kwa hiyo baada ya LOWASA KUULIZWA ALIKOPATA hela ya kukodi ndege ndiyo ukawa MWISHO WAKE ?
wewe fanya yenu kwanza yawengine baadaye.
Huyo ndo Yeriko Nyerere, kijana wa PUMBA. anasahau kuwa MBOWE na WARYOBA na serikali tatu zao, NYERERE angekuwepo nao wangetokomezwa kabisa.
Pole sana kizazi cha Division5, mnakariri nyimbo zote za Diamond lakini mnashindwa kujifunza historia ya nchi yenu, Ilaaniwe ccm na mambo yake yote,
mkuu, shujaa wa chadema mzee six kumbe alicharazwa bakora na nyerere?
Alafy mwalimu JK Nyerer angdenda LUMUMBA akamwita JK na kumuuliza..kwa nini wezi wa mabilioni ya EPA uliwaamuru warudishe na si kuwakamata na kuwafunga? Kwa nini uwaonee wale wachache tj kuwadungulia mashtaka? Pia angeulizia kwa nini sasa TEMBO wanahamishiwa China ilhali wasema unawajua majangimi kwa majina na idadi yao. Hatasahau juu ya madawa ya kulevya atauliza kwa nini wawafuga IKULU wauza madawa ya kulevya ilihali majina unayo hapi miaka mitano zaidi sasa? Najua ayakosa majibu sababu maswali ni mengi mnooo..hivyo atapata shinikizo la moyo na kufa tena..tutasubiria afufuke upya..vipi madai yao haya ya serikali tatu, wasingekula viboko kweli?, 6 siku ya kuingia bungeni, 6 siku ya kutoka wakawaoneshe wake zao?
Kwa nia njema tu, nakusahihisha kidogo tu mkuu,kolimba alihojiwa katika utawala wa mwinyi sio nyerere.ila mengine yote big up.
na mimi nakusahihisha tu, kolimba aliitwa kuhojiwa na kamati kuu ya ccm chini ya bwnjamini wiliam mkapa, ilikuwa 1995-2000
alihojiwa katika utawala wa mkapa.