Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 67,168
- 174,219
Inabidi washurutishwe maana kwa kubembelezana hii nchi ni ngumu😅Ifike sehemu tuache ujinga viongozi wote wahudumiwe kwa pesa zao kama walivyo watumishi wengine maana wao maumivu hawayajui hata kidogo