Wafahamu nyoka hatari Zaidi duniani

Hapana ninakukatalia....mamba anakimbiza hata gari sembuse binadamu...it is the most aggressive snake of all
 
Anapendwa na wanawake kivipi mkuu? Ama ana hela na sikisi paki?
 
Niliwahi kuskia nyoka wakigombana na mmoja kuuwawa! Mwenzie anakwenda kuchuma dawa na kumuekea mwenzie..kama binadamu utafanikiwa kuiona dawa basi ni dawa nzuri mno kwa mtu alie umwa na nyoka ..ila nyoka akikuona akiwa anachuma umekwisha..
Duu
kwa iyo uyo alie uwawa akiwekewa dawa anafufuka?
 
Acha kudanganya watu mkuu. Mimi mwenyewe ni shuuda
 

Huyu taipan ninaweza kukaa nae nyumba moja,hata kama anasumu kali lakini siyo mkorofi amezubaa sana wala hana kasi ya mashambulizi.
 
Dah.. mkuu kitambo sana. Enzi hizo mimi hata dunia sijaiona bado, wewe teyari upo kazini?
 
Dah.. mkuu kitambo sana. Enzi hizo mimi hata dunia sijaiona bado, wewe teyari upo kazini?
Ulikuwa ni mwaka wa balaa,sintousahau, kufika Burundi tu,tukasikia raisi wa Burundi na Rwanda wamepata ajali ya ndege(kumbe walitunguliwa)na wamefariki ndipo mauwaji makubwa yakatokea huko Rwanda.lakini kwangu ulikuwa mwaka wa 'koboko' mkubwa kabisa kuwahi kumuona.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…