Wafahamu nyoka hatari Zaidi duniani

Wafahamu nyoka hatari Zaidi duniani

Hapana ninakukatalia....mamba anakimbiza hata gari sembuse binadamu...it is the most aggressive snake of all
Nyie mnadanganyana bila fact kama unaishi mbeya nakukaribisha kwenye farm halafu mamba 3 tunawaweka halafu tuone kama atakimbiza MTU

Mamba ni aggressive 1 by 1 mmekaribiana na aggression yake anakaa huku robo ya mwili wake ameweka nyuma kwa timing umkaribia agonge kidogo ungesema cobra ningekuelewa maana cobra ukimsumbua anakufuata kwa njia ya zigzag na atakufuata kwa mita 10-15 na hapo wkt anakufuata unasogea nyuma kwa wanaokamata nyoka wanajua mambo haya ila mamba hana tabia ya kukufuata yy anatulia huku akisogeza Shingo lake anakuvizia hakuna mamba anayekimbiza watu ..fact
.
 
ladysmithblackmambazo.jpg

Ladysmith black mambazo, hii ni bendi ya muziki inayomuhusudu koboko.huko Afrika kusini.
 
Ni kweli kabisa, kutana na hao wengine wote Ila sio koboko, ukizisoma tafiti zao, hao nyoka wengine hujaribu kuepusha shari hata ukikutana nae.
Koboko yeye huepusha shari asikutane na wewe kabisa, Ila sasa akikuona tu, hajui kama uliingia anga zake kwa bahati mbaya ama la, yeye ni tifu kwa kwenda mbele. Kwa kifupi, tofauti na hao wengine, yeye ukikutana nae sali sala zako za mwisho.
Vipi mbio! Haziwezi kuwa na msaada wowote? Hata ukifunga turbo?
 
mambashot800.jpg

Huyu koboko mdogo alishambulia gari la wawindaji ikabidi ale risasi, moja aliikwepa yapili ndio ikampata, na pamoja na kuvunjika mgongo bado aliweza kupambana na hatimae kupanda juu ya mti,kilichomzuia ni kipande chake cha nyuma kilikwama kwenye matawi ya mti, na ilichukuwa mpaka asubuhi yake ndio akafa.
 
Back
Top Bottom