Wafahamu nyoka hatari Zaidi duniani

Wafahamu nyoka hatari Zaidi duniani

Kwa kuongezea tu, black mamba ni nyoka mtulivu sana ila ukimchokoza ndio utaona balaa lake!!

Kabla hajakushambua atakupa warning kwa kujikunja na kufungua kinywa chake chenye rangi nyeusi, ukiendelea kumsumbua baada ya hiyo warnng kinachofwata hapo ni kifo chako!!

Ukifika hatua hiyo jua una choices mbili tu either umshambulie afe tena bila kumkosa, au ukimkosa basi jua shambulio lake ni moja tu na baada ya hapo unadakika 20 za kusali na kuandika wosia kabla hujafa!!
Cha kufanya baada ya kupokea last warning kutoka kwa muheshimiwa Blackmamba, kumbuka wakati huu mtakuwa mmetenganishwa umbali wa either mita mbili au tatu..

1- Usithubutu kuinama kuokota chochote kwa lengo la kumshambulia.

2- Kama unafimbo na hunahakika na shambulio lako endelea kujikausha huku ukiomba sana dua.

3- Huku ukimuangalia kwa makini kwa utulivu kabisa rudi nyuma taratibu kuongeza umbali baina yako na muheshimiwa.

Ukionesha nidhamu kwa hatua hizo tatu juu, unaweza kutoka salama..!!! hapo sasa nenda dukani, kanunue soda baridi sana uipendayo na ujipooze maana mpaka kufikia hapo utakuwa umesweat vya kutosha sana!!!
 
Kuna nyoka wa huku chini nae ni hatari sana japo watu wanapenda kumtumia. Hili ndio joka hatari zaidi duniani.

Kama kuna mwenye picha yake anisaidie kuweka mie nimeshindwa tafadhali.

Ni Hatari Sana.

Ahsante.
Kioo hakidanganyi mamaa..
 
downloadfile.jpg

Koboko wa kwenye miembe huyu siyo mkali kama koboko mwenyewe huyu huwa hawi mkubwa,huyu huwa mpole.
 
Nyoka makengeza, huyu akikuuma chini unavimba juu. Yeye huuma zaidi wakati wa giza. Maranyingi haonekani hadharani, na hupendelea kuuma zaidi watu wa jinsia ya K. Nyoka huyu yupo kila mahari duniani na hupendwa na kila mwanamke kwa style yake ya uumaji. Sumu yake inasemekana akiuma maramoja huweza kudhuru hadi wanawake billioni moja. Na hutoa sumu kati ya mills, 150 hadi 200.hana macho ila ana mdomo tu
Duuu anapendwa na kila mwanamke? Anavimbisha wowowoo nini?
 
View attachment 724115
Koboko aliyekomaa ni nyoka hatari duniani,walla usisikilize sijui wataalam wewe ukiona kitu saizi hii wewe kimbia
Dah! Mkuu, kitu umekitolea wapi hiki? Black Mamba wa size hiyo ni the most dangerous and deadly creature..... huyo atakua na eneo lake la kujidai(territory), tena kubwa sana na ukisogea kwenye orbit yake atakufuata kwa kasi ambayo hutaweza kumkimbia. Wazungu na wataalam waje watuambie hapa na utaalamu wao ni nyoka gani wa ukubwa huo anaweza akakukimbiza kama sio Black mamba pekee? Natamani watu wa wizara husika wawe wanapita kwenye thread kama hizi waone watu walivokua na maoni ya kuendeleza na kutunza mali asili. Unfortunately these are endangered species. Ni nadra siku hizi kumpata wa ukubwa huo
 
Kwa ukorofi huu, ndugu zetu wa Tabora si wangekuwa wameiaha mkuu?
How comes hatujawahi kusikia hari ya hatari kutangazwa huko?(Sibishani, najaribu kufikrisha tu ubongo)
Ukorofi ni pale atakapojiridhisha bila shaka kwamba huna nia njema naye, vinginevyo ni wapole na wasiipenda bughudha, huchukua hatua kuepusha shari kwa kujiweka mbali nawe....
 
Wazungu na wataalam waje watuambie hapa na utaalamu wao ni nyoka gani wa ukubwa huo anaweza akakukimbiza kama sio Black mamba pekee?
Hawa wanaojiita wataalam haswa wa kizungu kuna namna huwa wanakificha kiumbe hichi,huyu ndio nyoka mwenye kasi zaidi duniani,huyu ndio nyoka ambaye huwa anagonga zaidi ya mara moja kwa lengo la kuuwa,huyu nyoka ndiye bingwa wa ambush ukiwa umeingia kwenye eneo lake.
 
Back
Top Bottom