Hapa kaona adui na anatoa onyo..View attachment 724272
Kitu kinawika hicho.
Hapa kaona adui na anatoa onyo..View attachment 724272
Kitu kinawika hicho.
HahahahaYani ukishaona amesimama hivyo ujue hapo hakuachi hata ukimbie vipi ,,,yani hapo ni kuomba mungu tu nyegere au nguchiru akatize katikati ndo utapona
Hapana ninakukatalia....mamba anakimbiza hata gari sembuse binadamu...it is the most aggressive snake of allHakuna nyoka anayekimbiza watu huyo nyoka hayupo duniani labda kwa baadae nyoka wa aina hio atokee .
Mamba kama walivyo nyoka wengine hawapendi usumbufu wakiona unafanya approach kuwasogelea hujiondokea zao
Nyoka mbaya na hatari ni yule hujamuona ukapita jirani yake hapo atafanya striking kama defensive mechanism ila kuhusu kukimbiza hayupo nyoka wa aina hio duniani.
Anapendwa na wanawake kivipi mkuu? Ama ana hela na sikisi paki?Nyoka makengeza, huyu akikuuma chini unavimba juu. Yeye huuma zaidi wakati wa giza. Maranyingi haonekani hadharani, na hupendelea kuuma zaidi watu wa jinsia ya K. Nyoka huyu yupo kila mahari duniani na hupendwa na kila mwanamke kwa style yake ya uumaji. Sumu yake inasemekana akiuma maramoja huweza kudhuru hadi wanawake billioni moja. Na hutoa sumu kati ya mills, 150 hadi 200.hana macho ila ana mdomo tu
Hapo huwa kuna kamlio huwa anakatoa, kama pancha ya tairi.Hapa kaona adui na anatoa onyo..
DuuNiliwahi kuskia nyoka wakigombana na mmoja kuuwawa! Mwenzie anakwenda kuchuma dawa na kumuekea mwenzie..kama binadamu utafanikiwa kuiona dawa basi ni dawa nzuri mno kwa mtu alie umwa na nyoka ..ila nyoka akikuona akiwa anachuma umekwisha..
Mbona sijaona akimng'ata sasa?
Angalia koboko huyu mdogo alivyomtia adabu simba.na bado amaendelea kugonga mpaka simba amekufa bado anagonga tu.akikomaa huyu hata tembo anashika adabu.
NdioDuu
kwa iyo uyo alie uwawa akiwekewa dawa anafufuka?
Acha kudanganya watu mkuu. Mimi mwenyewe ni shuudaHakuna nyoka anayekimbiza watu huyo nyoka hayupo duniani labda kwa baadae nyoka wa aina hio atokee .
Mamba kama walivyo nyoka wengine hawapendi usumbufu wakiona unafanya approach kuwasogelea hujiondokea zao
Nyoka mbaya na hatari ni yule hujamuona ukapita jirani yake hapo atafanya striking kama defensive mechanism ila kuhusu kukimbiza hayupo nyoka wa aina hio duniani.
Local beleave...Duu
kwa iyo uyo alie uwawa akiwekewa dawa anafufuka?
Noma sana mkuu.. hapo ukikutana nae inabidii ufunge injini ya boxer bm 150 miguuni.. unamwachia vumbi tu hata kama kuna hiyo ramiiView attachment 724314
Koboko ambae bado hajakomaa anatafuta maji ya kunywa
Dah.. mkuu kitambo sana. Enzi hizo mimi hata dunia sijaiona bado, wewe teyari upo kazini?Mimi binafsi mwaka 1994 nilikuwa naelekea Bujiumbura nilipofika katikati ya Bwanga na Runazi (wakati huo naendesha lori la mizigo)nikaona kitu kimekaa barabarani kwa mbali mimi nikafikiria ni ni fito ndeefu imetupwa barabarani,kumbe koboko bhana,kumkaribia akasimama huku amepanua mdomo wake mweusii toba.nikafunga vioo vyote nikajua nimemkanyaga kufika Runazi mwenzangu aliyekuwa nyuma alipofika nikamuuliza kama ameona mzoga wa koboko akasema hajaona chochote.
N ktk Mihangaiko mkuu n story ndefu maeneo ya Singida iramba ukoIli kuwaje mkuu?
Ulikuwa ni mwaka wa balaa,sintousahau, kufika Burundi tu,tukasikia raisi wa Burundi na Rwanda wamepata ajali ya ndege(kumbe walitunguliwa)na wamefariki ndipo mauwaji makubwa yakatokea huko Rwanda.lakini kwangu ulikuwa mwaka wa 'koboko' mkubwa kabisa kuwahi kumuona.Dah.. mkuu kitambo sana. Enzi hizo mimi hata dunia sijaiona bado, wewe teyari upo kazini?