Enzi hizo nilisikia wakisema Nyoka anayewika sasa ukitaka kumuua eti ubebe Sufuria kubwa lenye uji wa Moto sijui kama ndio huyu au laaaView attachment 724272
Kitu kinawika hicho.
Wewe una ufahamu kuhusu nyoka. .bravoKwa kuongezea Black Mamba hutumia kasi yake ya ajabu kukimbia hatari,na si kwa ajili ya kukimbiza windo
You spotted ..bravoKoboko (black mamba) huyu yeye kama akiingia katika makazi ya watu kama mji/mitaa/hostel huwa mpole na hujificha kwa kujilinda na tahadhari hapo anakua hana uwezo wa kukimbiza mtu wala nin ila hujificha na kujilinda as defensive mechanism!!! alaf kitu kingine huyu Koboko yeye atemi sumu(spitting venom) bali hungata(bite) ndo maana watalaam wanamuhofia sana Cobra maana yule anauwezo wa kutema sumu mfululizo bila kukata na sumu iyo kuleta madhara!!!!
Unajua hawa nyoka wawili MAMBA'S NA COBRA wanatofautia vitu vingi...
1/SPEED...mamba's wana speed ni moja kati ya the fastest snake in the world..huku Cobra hana spees ya kuwazid awa mamba's(balck and green)
2/SUMU...Mamba's sumu yao ni kali kuliko Cobra
3/SPITTING..Mamba's wao hawatemi sumu wanaintroduce sumu kwa kung'ata ila Cobra wao wanauwezo wa kutema sumu mpaka umbali wa mita 5-10 hii sifa ya kutema sumu inamfanya Cobra kuogopewa sana maana akitema ile sumu ikifika machoni basi husababisha hupofu ata kwa mnyama sio binadamu tu
4/SIZE...hapa sasa a full grown Mamba'(s) is bigger than a full grown cobra.
5/ AGGRESSIVENESS...hawa mambas ndio nyoka mwenye hasira na vurugu kuliko nyoka wengine yoyote ivyo apa cobra anasuburi
Finally...Nyoka jamii ya Mambas ni hatari sana kuliko cobra ingawaje hawa cobra ndio nyoka walio karibu sana na makazi ya watu...
Pia Mambas au Koboko hawa wana aina flani ya Aibu ndo maana hawapendi makazi ya binadamu wanapenda kuish mbali na binadamu
sina cha kuongezea atleast kuna watu wanajua sio wale wa kuweka chumviNg'ombe huwa wanatembea wengi tena hawa wasukuma hutembea na Ng'ombe 100-1000 sasa hapoNikiwa nasoma urambo kijiji ki1 kinaitwa songambele, niliwahi shuhudia ng'ombe kama 20 wameuwawa na koboko kwa muda huo huo, hapo ndipo nilipoona msukuma akilia kilio ambacho sijapata ona binadamu akilia vile, manake alishangaa kuona mifugo yake inadondoka tu, anakuja muona koboko keshafanya yake, akasepa kama mwanga wa radi, nikasema kweli huyu nyoka ni hatari aisee
Black mamba hawezi kufika ukubwa au urefu wa chatu...anaweza kufika urefu wa mita tatu na nusuHuyu ni nyoka mwenye hadithi nyingi sana na anaegopwa kuliko wote kwa sababu tofauti na nyoka wengine ambao hujihami, Black Mamba hua anashambulia. kwa Tanzania nyoka hawa wapo sana katika mapori ya Tabora na Mwanza na jina lake la asili ni Koboko. Siku zote nasema nyoka huyu angekua anapatika ulaya wazungu wangempa promo sana ila sisi waswahili tunawaua sana kiasi ambacho sasa hivi ni nadra kumpata Black Mamba mwenye ukubwa wa chatu mkubwa
Mkuu wewe unafanya kwenye snake farm? Umezoea kuona Black Mamba wa kufugwa bilashaka, wale wadogo wadogoWewe una ufahamu kuhusu nyoka. .bravo
Mkuu mie ni shuhuda, nilishawahi kuona clip hii kwenye nat geo wild channel, huyo katoa fupi tu, ni kweli ile anamng'ata hasa, na simba anakija onyeshwa keshakufa. Nenda youtube ipo ingawa mie nikina kwenye hiyo channel kama documentary
Arusha snake park nimeshafika mkuu, kuna Black Mamba lakini sio wa ukubwa wa kutisha ni wa size ya kawaida. Ni vigumu kumuweka Mambas aliyekomaa ukamfuga kama unavofuga chatu, hatu exaggerate lakini na hatari yake haipimiki. Hata yule mzungu wa South Africa anaeitwaga majumbani kwa watu kukamata nyoka hebu muangalie anapoitwa ku deal na Black Mamba jinsi anavyokua muangalifu kupita kiasi akimuonya na na mkewe pia. Tena Koboko wenyewe anaowafata wanakua wa size ya kawaida tu
Nyoka kwa ujumla wanapohisi hatari hukimbia isipokuwa pale unapombananisha akose pa kukukimbilia hapo lazima uchezee kichapo...nyoka jamii ya vipers kama akina puffader na gabon adder hawa ni jeuri hawakimbii hatari,hujifanya wamekufa ukisogea tu unachezeaNi kweli kabisa, kutana na hao wengine wote Ila sio koboko, ukizisoma tafiti zao, hao nyoka wengine hujaribu kuepusha shari hata ukikutana nae.
Koboko yeye huepusha shari asikutane na wewe kabisa, Ila sasa akikuona tu, hajui kama uliingia anga zake kwa bahati mbaya ama la, yeye ni tifu kwa kwenda mbele. Kwa kifupi, tofauti na hao wengine, yeye ukikutana nae sali sala zako za mwisho.
Hapana kamata sana mamba porini na wakubwa tu ,nyoka mgumu ni spitting cobra na hawa cobra wengine kidogo wapo aggressive wanakufuata ila mamba hakufuati anatulia alipo akinesa kichwa chake umsogelee akugonge na anafungua kinywa chake anatoa sauti Fulani akikutahadharisha uondoke umuache ...ukiwa na fimbo iliyochepuka mbele dakika 2-3 unamkamata mamba ..cobras ,spitting na wengine huchukua muda kidogo sababu wasumbufu hata mamba wa futi 14 mkubwa kabisa tahadhari pekee ya kuchukua pindi unajaribu kumuua au kumkamata kaa mita 5 mbali na yy na hapo hutegemea urefu wa mamba wenyewe ,sifa ya mamba hafuati anangoja uingie kwenye timing akugonge na kichwa chake anakilinda sana ndio maana unaona anatulia na kurudisha nyuma sasa ukikaa mita 5 hivi hata ajaribu kugonga hakupati na akisogea kidogo na ww unarudi nyuma kidogo tofauti ni moja cobra atazidi kukufuata ila mamba hatofanya hivyoMkuu wewe unafanya kwenye snake farm? Umezoea kuona Black Mamba wa kufugwa bilashaka, wale wadogo wadogo
Mkuu huyu nyoka ni hatari sanaArusha snake park nimeshafika mkuu, kuna Black Mamba lakini sio wa ukubwa wa kutisha ni wa size ya kawaida. Ni vigumu kumuweka Mambas aliyekomaa ukamfuga kama unavofuga chatu, hatu exaggerate lakini na hatari yake haipimiki. Hata yule mzungu wa South Africa anaeitwaga majumbani kwa watu kukamata nyoka hebu muangalie anapoitwa ku deal na Black Mamba jinsi anavyokua muangalifu kupita kiasi akimuonya na na mkewe pia. Tena Koboko wenyewe anaowafata wanakua wa size ya kawaida tu
Sawa.nimeziona.Mkuu picha mbona zipo page ya kwanza hapo
Hapo Inyonga nilipata na basi Saratoga kuna sehemu tulisimama kuna vijumbavijumbaa vya Nyasi, basi kwa juu tulionaa bonge la Joka aisee yaan tulishtuka kwenye gari, naona mhusika analifugaMimi hilo pori nalijua sana kuanzia Sikonge mpaka Inyonga sasa kwenye hilo pori koboko waliokomaa ni wengi kuna wengine wanafikisha mita 19 na kuendelea. hahahaa..
1.Hakuna nyoka anayeweza kum-confront mtu ,nyoka woote wanawaogopa watu kuliko watu wanavyowaogopa nyokaKweli wale Mamba ni wadogo sana Mamba wakubwa wako Zimbabwe Msumbiji na Namibia Naahaam hizo nchi ndo unakuta mamba ambae ana maika kumi na tisa mapaka huyo mamba wa Umri huo ni bora ukutane naona Simba
..mnafurahisha sana ase mnavyoongopa na kuweka chumvi dah sio kwa chumvi hiziHahahaaaaaaaBLACK MAMBA AU KOBOKO WANAPATIKANA KWA WINGI MKOA WA TABORA WANA KULA BANGI HATARI