Waepuke wanawake masikini

"You don't owe any woman the life her parents failed to give her." Hii sentensi inatosha kuwa fundisho la kudumu kwa wanaume wote wanaoendekeza usimp na kutaka kubeba majukumu ya malezi (Usimbela).

Dunia imebadilika sana. Kama mfumo wa sasa unadai usawa wa kijinsia (50/50) kwenye fursa, elimu, na ajira, basi ni lazima kuwe na usawa wa 100% kwenye kubeba majukumu, kuvuja jasho, na kutafuta uchumi.

Hauwezi kudai usawa wa kijinsia asubuhi ukiwa ofisini, halafu jioni ukifika baa au kwenye kodi ya nyumba ukarudi kwenye mfumo wa ukoloni wa kumtegemea mwanaume asilimia mia moja. Huu unaitwa "Opportunistic Equality"
wanawake wajanja wanachagua usawa pale unapowanufaisha na kuukataa pale unapowataka wawajibike.

Mwanaume pambana ujenge himaya yako; mtaji wako, akili yako, na nguvu zako ni kwa ajili ya kuwekeza kwenye kesho yako na kizazi chako, sio kuwa mfuko wa hisani au bima ya dharura ya mwanamke aliyeshindwa kupambana na maisha yake. Usigeuzwe daraja la mwanamke mvivu anayetaka kutumia changamoto za nyumbani kwao kama mtaji wa kukutoa jasho wewe.

Mahusiano yasiwe mradi wa kuondoa umaskini (Poverty Alleviation Scheme). Kama hawezi kuleta mezani akili, mtaji, connections, au msimamo wa kukusaidia kupiga hatua, huyo sio mwenzi wa maishaβ€”huyo ni mchungaji anayetafuta kondoo wa kumnyoa. Amkeni!
 
Anakuwa nibebe Kila siku!
 
Tumetengeza kasumba mbaya sana ya kuwaaminisha wanawake kujenga maisha yao ni option, sio wajibu. Kwa maana hata asipofanya hivyo anaweza ku-survive kwa kuhudumiwa mahitaji yake na mwanaume.

Ndio maana hata wao wenyewe wakianza kujilipia bill zao wanajiita super woman, independent woman na majina mengine ya kishujaa kwa sababu wanaona ni kama wanafanya kitu kinachostahili nobke prize, wakati huo ni wajibu wa kawaida kabisa kwa kila mtu mzima.

Inashangaza sana kuona mwanaume na mwanamke ambao wamepitishwa kwenye mfumo mmoja wa fursa sawa eti wakifika last resort mwanaume abebe jukumu la kumwinua mwanamke
 
Anakuwa nibebe Kila siku!
Na pamoja na sacrifices na investments zako hakuna guarantee kwamba ataendelea kuwa loyal kwako maisha yake yote. Tena ukikutana na mshenzi atakutumia kama ngazi akitoboa anaenda kwenye makongamano yao kujiita super woman na kusema ulimzuia kutimiza ndoto zake ndio maana akaondoka awe huru
 
Mi sipendi pisi za kimaskini... Siku nikimpata mtoto wa Mama Samia nitat@mba mpaka nimpe mimba nimuoe... yaani hicho kitombo mpaka nitalazwa pale Makandana.
Nenda dodoma kavizie vizie getini. Si yupo pale ni naibu waziri wa elimu
 
Bora wewe umeongea la maana,
Wanaume wa kizazi hiki no wonder wanaolewa wazazi sijui walikosea wapi!?
😁 Napenda kuwa mwanaume provider, ila huwa nasoma anonymous confession za Instagram wadada wengi wanasema ooh mume/boyfriend hana changamoto ya kitabia, pesa ananipa, bills zote nyumbani analipa, ila sivutiwi nae kimapenzi, ana sura mbaya, niki-sex nae kama ananibaka

Huwa naishiwa pawa aisee, nakata hadi tamaa ya kumpa mwanamke hela πŸ₯² naa
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ usiwaze siku zote mtu anataka ambacho hana.. kumridhisha binadam ni impossible.. fanya linalokupa raha wewe akili zetu tuachie wenyewe!
 
Mimi mwanamke ambaye hata vocha ya 10k hawezi kujinunulia siwez date naye never
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…