Waepuke wanawake masikini

Mi mwenzio napenda hela toka usichana wangu!!!!!!!!
Hapa nazeeka mume anajua kabisa Mimi na Hela tulivyo sambamba.
Hilo swali waulize mabinti maana sina uzoefu wa kuuliza hivyo.
Na uzoefu na penzi la kimaskini sina
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Movie zinawadanganya jamani πŸ˜ƒ
Wewe masikini huyo tajiri utakutana nae wapi?!
Hela inafata hela, tena bora wanawake akijaliwa kasura na ka shape ana 50% ya kupata tajiri
Ila nyie kaka zangu pambaneni maana mna 2% tu ya kuopoa wa kishua!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ngumu kumezaa hii. Lol
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ni muhimu kupata hii elimu na itaingia taratibu tu kwa walio wengi. Wanaofaidika na huo mfumo uliodumu makarne huko lazima wakasirike na washambulie kwanini unawasanua watu waliolala usingizi mzito ili waendelee kufaidika.Pia wapo watu ving'ang'anizi wa upande huohuo unaojaribu kuwaamsha watashambulia tu kwamba kwanini unataka utubadirishie mtizamo tulioukuta na kuiishi nao. Jamii ndo zilivyo haziwezi kubadirika kimtizamo kwa usiku mmoja ndo maana ni muhimu kuendelea kukazia hii elimu adhimu ambayo huipati shuleni.😁
 
Huu ndiyo Uzi Bora kuliko wote kwa Mwaka huu hapa JF

MELLO toa zawadi kwa huyu jamaa
 
Dada zako ni matajiri?
Duh.! Wabongo ni wagumu kuelewa. Naanza kuamini uenda kuna ukweli kwenye ule utafiti kwamba Tanzania ipo kwenye top 10 ya nchi zenye watu wenye uwezo mdogo kiakili duniani

Substitution ya masikini sio tajiri. Akiwa na kipato cha kumudu mahitaji yake na muelekeo wa kimaisha ni sawa.
 
Epuka zaidi "MWANAMKE MASKINI WA AKILI"
maskini wa kipato huyo naweza ishi nae ila kama hana akili, huyo simuwezi
Masikini ni liability mzee mwenzangu. Tutaizungusha zungusha tu hiyo maana tu ili isiumize hisia zetu. Inawezekana tayari usha-settle au usha-fall in love kwa mwanamke masikini lakini hiyo haiondoi ukweli kwamba masikini ni liability. Haji kuongeza chochote, anakuja kuchukua na kukuchelewesha.

Kijana wako wa kiume akitaka kuoa chunguza mkwe wako anatoka kwenye familia gani. Kama binti anatokea kwenye absolutely poverty family, zuia hiyo ndoa mara moja kwa maana kijana wako anaenda kubeba mzigo mkubwa wa kuhudumia ukoo mzima
 
Kabisa kabisa...mie bwana mwanamke tako titi sura kwa maana nipo kiburudani zaidi kuliko kuangalia eti kuoa
Bora wewe umekua muwazi. Upo for pleasure tu nothing serious. Kuna wengine wanapambana kupindisha ukweli. Mara masikini wa akili, mara masikini asie muwajibikaji. Unakutana na mwanamke miaka 25+. Hana kipato, hasomi, hana chochote cha maana kinachoendelea kwenye maisha yake. Kwanini hakutumia hizo akili na uwajibikaji wake ili umkute angalao kuna kitu alishaanza kukifanya.
 
Bora wewe umeongea la maana,
Wanaume wa kizazi hiki no wonder wanaolewa wazazi sijui walikosea wapi!?
Kikawaida mwanaume hahitaji kipato cha mwanamke ila akiwa nacho sio mbaya ni nyongeza ila kuna yale ya msingi, utulivu wa nafsi na mambo mengine, mama bora kwa watoto...

Sasa niwe na mwanamke ana hela na bado anasumbua kichwa yangu, hapo changamoto..
Kiume kabisa mwanamke akikuzidi kipato kuna hali fulani, unaona si sawa.. sasa hapo upate mwanamke mwenye akili timamu ndio hiyo hali itapotea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…