wadau tutangaze mali zetu!!

wadau tutangaze mali zetu!!

Ninamiliki vitu vifuatavyo
SMG MOJA, AK 47 MOJA, PETE MBILI ZA DHAHABU, BALAGHASHIA MOJA, LAPTOP TATU, PESA TASLIMU MIL1.5, DOLLAR 400, SIMU MBILI ZA BLAKBERRY, KG2 ZA DHAHABU, GRAMU 80 ZA TANZANITE.

Jumla ni vijipesa vidogo tu.
Source: Mjasiriamali.
 
wakusoma hivi hiyo blackberry kwenye avatar yako hapo juu, ni toleo jipya eeeenhe?
 
Basikeli 1 ya swala,redio 1mbao ya national,jembe la mkono,panga,mashati mawili ya bahama,la kuchumpa,jinsi pensi,jumla 35000tsh.

Hiyo baiskeli na lakuchupa nimeipenda...JAMANI BAISKELI YANGU NULIUZA...tamaa bwanaaa!!!
 
namiliki chupi 3 za TMk,ndala za skyway,kanzu 2,fimbo ya kutembelea,kibarakashee,redio na cmu ya mchina,sina nyumba.pia ninafuga majini 7,vibuyu vya uchawi 4,nyungo mbili,na sinia la pilau 1.
 
Namiliki kilabu cha mbege ya sh 50,000/=,duka la supea za biskel sh 100,000=,nyumba ya kukodi 3000/=per month,nyumbani kwangu tunakula ugali na perege daily sh 1,500/=,watoto wanasoma shule za kata bei ikajuikana, a/c ya benki NMB nina sh 1.5 billion, CRDB kuna sh 1.8 billion,BACLAYS,kuna pound hapa nimesahau kdogo.
 
Nina simu aina ya nokia kitochi,godoro la bila kitanda 5X4 ,nina mke toleo no 1988,portable,superblack, avarage breasts,big buttocks.6ft height,round and nice vagina,long hair, round face,bending back,not virgin,unshareble.nilimpata akiwa used but thamani yake siikumbuki vzuri mpaka nikaangalie kwenye risiti niliyopewa na wazazi wake
 
wake 5 na watoto 30 na tushamba twangu twa tumbaku pale upendo , mafyeko, bitimanyanga na isangawani huko lupatingatinga Chunya.
 
namiliki witu kibao lakini most of them napewa tu na ndugu zangu vingine nimerithi , sina risiti hata moja anyway nimekumbuka tv na radio jamaa aliweka rehani baada ya kukopa tu laki tuwili basi
 
namiliki witu kibao lakini most of them napewa tu na ndugu zangu vingine nimerithi , sina risiti hata moja anyway nimekumbuka tv na radio jamaa aliweka rehani baada ya kukopa tu laki tuwili basi

uto tutv twa inchi ngapi?au ndo tule tuko kama tujicho twa ngombe?
 
Back
Top Bottom