Wadau tusaidiane, mbinu gani nitumie kuisahau timu ya taifa?

Mimi ambacho hufanya kila muda taifa stars wanavyo cheza hushabikia timu pinzani bahati nzuri hazijaniangusha na nimekuwa na furaha sana. Pia kama ni mwana Yanga mwenzangu unaweza ukashabikia Mali Africa ni moja
Mungu ibariki afrika ,afrika ni moja, tupige vita ubaguzi, na kuonyesha hilo tushabikie timu zote zinapocheza na taifa stars. tupo pamoja mkuu
 
Kutokana na kuipa umuhimu mkubwa timu yangu ya taifa, nmejikuta nmepata maumivu makubwa sana. Nahuisi ni depression na sonona. Kila nikiona uzi au post ya taifa stars popote kule naumia zaidi. Sasa wadau tusaidiane mbinu gani nitumie nisiendelee kuumia.
acha ubaguzi mkuu. shabikia timu zinazocheza na stars. utapata furaha
 
Kutokana na kuipa umuhimu mkubwa timu yangu ya taifa, nmejikuta nmepata maumivu makubwa sana. Nahuisi ni depression na sonona. Kila nikiona uzi au post ya taifa stars popote kule naumia zaidi. Sasa wadau tusaidiane mbinu gani nitumie nisiendelee kuumia.
Mbinu ni moja tu ni kuindoa CCM akilini mwako na automatically Stars itakuwa imeondoka. Over!
 
Sasa timu yenyewe ya kina Kibu, Mzamiru na kina Nondo unakuwa na matumaini yote hayo!?
Jaribu kutafakari timu yako ingekuwa Egypt, Cameroon. Algeria au wenyeji Ivory Coast ungekua kwenye hali ghani.?
Inawezekana mpira haukufai , poole sana achana nao fanya mengine.
 
yaani nikisikia sauti ya mwanasiasa kwenye stars ,naichukia mara mbili na kuiombea mabaya
bora wakae kimya naweza kujirudi
 
Kutokana na kuipa umuhimu mkubwa timu yangu ya taifa, nmejikuta nmepata maumivu makubwa sana. Nahuisi ni depression na sonona. Kila nikiona uzi au post ya taifa stars popote kule naumia zaidi. Sasa wadau tusaidiane mbinu gani nitumie nisiendelee kuumia.
Acha uzwazwa hawaumii kina mwijaku na babalevo waliolipiwa kila kitu kwenda kuishangilia timu ya kichwa cha mwendawazimu ije kuwa wewe??

Kwani kwenye zile 2.5B za CAF walizopewa TFF uliambulia kiasi gani?
 
Kutokana na kuipa umuhimu mkubwa timu yangu ya taifa, nmejikuta nmepata maumivu makubwa sana. Nahuisi ni depression na sonona. Kila nikiona uzi au post ya taifa stars popote kule naumia zaidi. Sasa wadau tusaidiane mbinu gani nitumie nisiendelee kuumia.
vuta bangi
 
Back
Top Bottom