Wadau naomba mchango wa mawazo! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wadau naomba mchango wa mawazo!

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by erique, Jul 11, 2011.

 1. erique

  erique JF-Expert Member

  #1
  Jul 11, 2011
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 428
  Likes Received: 262
  Trophy Points: 80
  Ingawa inawezkana hili swala halifai kuwa ndani ya chumba hiki, lakini naomba mwenye wazo au mchango wowote juu ya swala hili asisite kunifahamisha. NINACHO KIWANJA KIKUBWA, AMBACHO NIMEACHIWA NA WAZAZI WANGU,KIWANJA KIPO MAENEO YA KINONDONI, NA KARIBU KABISA NA BARABARA YA KAWAWA. KWA SASA KATIKA ENEO HILO KUNA NYUMBA YA MAKAZI AMBAYO TUNAITUMIA KWA MAKAZI BINAFSI. NIMEKUA NINAFIKIRIA KUINGIA MKATABA NA SHIRIKA AU KAMPUNI YEYOTE AMBAYO ITAKUBALI KUNIJENGEA NYUMBA YA BIASHARA (GHOROFA) AMBAYO AITUMIE KWA BIASHARA AU OFFICE (KULINGANA NA MATAKWA YAKE) ALIMRADI MIMI AWE ANANIPATIA PERCENT FULANI KWA MWEZI, MPAKA UTAKAPOFIKIA MWISHO WA MKATABA WETU AMBAPO UMIRIKI WA NYUMBA HIYO UTAHAMIA KWANGU, KISHA NITAENDELA KUMPANGISHA KWA ASILIMIA 100. JE MNANISHAURI VIPI JUU YA WAZO HILI? NA KAMA HILI JAMBO LINAWEZEKANA NAOMBA WALE WENYE UZOEFU WANIPATIE MUONGOZO JINSI YA KUKAMILISHA SWALA HILI. KIWANJA KIMEPIMWA NA KINA HATI KAMILI. ASANTENI SANA.

  email: eriquemwankemwa@gmail.com
   
 2. Kivumah

  Kivumah JF-Expert Member

  #2
  Jul 12, 2011
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 2,413
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Sidhani kama kuna kampuni itakayokubali hayo matakwa yako kwamba ikujengee halafu baadae uwapangishe.
  Cha kufanya Ingia Mkataba na Kampuni inunue hilo eneo na pia mkubaliane hio kampuni ijenge kama ni Ghorofa kwa mfano ktk hiko kiwanja ,then mkubaliane wakuachie Floor Moja katika hilo ghorofa kwa ajili ya kufanya issue zako. kama ni kuishi au biashara etc, utaamua mwenyewe
   
Loading...