Mambo Gani ya kua nayo makini unaponunua Nyumba?

Pantomath

JF-Expert Member
Jan 4, 2019
789
3,230
Nyumba au kiwanja.
Ndio kuna vitu vinajulikana kama hati ya manunuzi/umiriki, mkataba/makubaliano n.k lakini katika haya haya watu hua wanazungukwa,

Naomba kujua ni vitu gani vinajulikana ni muhimi lakini ni vya kua navyo makini? Isijetokea ukazungukwaa,
Hivyo vitu vyote utajuaje kama no OG ay fake?

Mwenye kujua sheria, uzoefu, na fundisho katika hili naomba wazo lako hapa....
1689092731833.jpg
 
Sehemu unaponunua nyumba na aina ya ujenzi uliofanyika,Kuna aina ya majengo badala ya kupandisha thamani nyumba Yako hata kama ni ghorofa,yenyewe yanashusha, nyumba Yako ya mil 250 imezungukwa na nyumba za tembe,fikiria ukitaka kuuza ni Nani atatamani kununua na kuishi hapo
 
Ndio kuna vitu vinajulikana kama hati ya manunuzi/umiriki, mkataba/makubaliano n.k lakini katika haya haya watu hua wanazungukwa,

Naomba kujua ni vitu gani vinajulikana ni muhimi lakini ni vya kua navyo makini? Isijetokea ukazungukwaa,
Hivyo vitu vyote utajuaje kama no OG ay fake?

Mwenye kujua sheria, uzoefu, na fundisho katika hili naomba wazo lako hapa....View attachment 2688856
Patamu balaaa, dah bonge la location
 
Back
Top Bottom