ben mb na nyerere mjasriamali na mwanaharakati huru..Wanaukumbi, naomba kuuliza hivi BEN SAANANE na YERICKO NYERERE wanafanya kazi gani inayo waingizia kipato chao cha siku. kwakua siwaamini, nisingependa wenyewe wanijibu.
Ben ni Mb wa nini na Yeriko ni Mjasiriamali wa nini?ben mb na nyerere mjasriamali na mwanaharakati huru..
Mkuu, ni vema wakajadiliwa hawa kwani imedhihirika kuwa ndo chanzo cha migogoro ndaninya CHADEMAben and yericko diskus ideas and topics here, you discus them(people) who is fool? mind your own business, eti na wewe umeanzisha thread! jf imeingiliwa kweli.
Wewe ndiye mpuuzi. Ameuliza kitu cha msingi badala ya kumjibu kwa hoja unaanza kumshambulia. BTW, kuanzisha thread hapa kunahitaji degree??ben and yericko diskus ideas and topics here, you discus them(people) who is fool? mind your own business, eti na wewe umeanzisha thread! jf imeingiliwa kweli.
Wanaukumbi, naomba kuuliza hivi BEN SAANANE na YERICKO NYERERE wanafanya kazi gani inayo waingizia kipato chao cha siku. kwakua siwaamini, nisingependa wenyewe wanijibu.
Mkuu, mleta mada ana sababu ya msingi kwani Ben na Yeriko wamehusishwa kwenye mambo mengi ambayo yanakivuruga chamaMbona hujaanza kutuambia wewe unafanya nini,unataka kujua ili iweje, umetumwa .
Ahsante mkuu kwa taarifa. Na je wapo kwenye ile Timu ya Ujasusi ya CHADEMA? Maana imeelezwa kuwa Ben Saanane alishiriki kuandaa ile Ripoti ya Siri juu ya Zitto Kabwe na Yeriko ndo alikuwa anaisambaza mitandaoniHawa ni wameajiliwa na chadema kuchafua watu mitandaoni na wanalipwa vizuri ndo maana hawalali njaa na wamesimama kidete na kazi yao
Mkuu, mleta mada ana sababu ya msingi kwani Ben na Yeriko wamehusishwa kwenye mambo mengi ambayo yanakivuruga chama
Mkuu, mleta mada ana sababu ya msingi kwani Ben na Yeriko wamehusishwa kwenye mambo mengi ambayo yanakivuruga chama
Wewe ndiye mpuuzi. Ameuliza kitu cha msingi badala ya kumjibu kwa hoja unaanza kumshambulia. BTW, kuanzisha thread hapa kunahitaji degree??
Mkuu, hakuna kinachoniuma ila ni jukumu la kila mmoja weru kuhakikisha kuwa watu wanafiki wanafichuliwasasa kama yanakivuruga wewe inakuuma nini? acha umbeya wewe mtoto wa kike.
sasa kama yanakivuruga wewe inakuuma nini? acha umbeya wewe mtoto wa kike.
Mkuu, hakuna kinachoniuma ila ni jukumu la kila mmoja weru kuhakikisha kuwa watu wanafiki wanafichuliwa
Mkuu, ni vema wakajadiliwa hawa kwani imedhihirika kuwa ndo chanzo cha migogoro ndaninya CHADEMA