Wadau hawa wanafanya kazi gani

Wanaukumbi, naomba kuuliza hivi BEN SAANANE na YERICKO NYERERE wanafanya kazi gani inayo waingizia kipato chao cha siku. kwakua siwaamini, nisingependa wenyewe wanijibu.

wamekuomba hela ya kula?
 
they discus issues,ideas and opinions you discus them, that shows how low of thinking u have
 
Kazi yao ni kutumika katika kazi za UKUWADI wa siasa,majukumu yao makubwa ni kuwa vibaraka wa kudumu kwa Mbowe,Slaa na kupigania maslahi yao (Mbowe na Slaa) usiku na mchana.Kundi hili linajimuhisha pia volunteer kama Molemo,Mwita Maranya,Baba V,Mzito Kabwela,Mkirua n.k

Mkuu kasikilize kwaya za dini maana hiyo ID yako inataoka na kwaya za Kenya!!
 
Wanaukumbi, naomba kuuliza hivi BEN SAANANE na YERICKO NYERERE wanafanya kazi gani inayo waingizia kipato chao cha siku. kwakua siwaamini, nisingependa wenyewe wanijibu.
kwako kwenye mission ya ku defend dr slaa na mbowe,wanapokea amri za kuwawekea watu sumu,tindikali na kutunga propaganda za kuwachafua viongozi ambao ni hatari(wanahatarisha maslahi) kwa maboss wao
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom