Wadau hawa wanafanya kazi gani

Mandown

JF-Expert Member
Apr 8, 2012
1,665
503
Wanaukumbi, naomba kuuliza hivi BEN SAANANE na YERICKO NYERERE wanafanya kazi gani inayo waingizia kipato chao cha siku. kwakua siwaamini, nisingependa wenyewe wanijibu.
 
Wanaukumbi, naomba kuuliza hivi BEN SAANANE na YERICKO NYERERE wanafanya kazi gani inayo waingizia kipato chao cha siku. kwakua siwaamini, nisingependa wenyewe wanijibu.
ben mb na nyerere mjasriamali na mwanaharakati huru..
 
ben and yericko diskus ideas and topics here, you discus them(people) who is fool? mind your own business, eti na wewe umeanzisha thread! jf imeingiliwa kweli.
Mkuu, ni vema wakajadiliwa hawa kwani imedhihirika kuwa ndo chanzo cha migogoro ndaninya CHADEMA
 
ben and yericko diskus ideas and topics here, you discus them(people) who is fool? mind your own business, eti na wewe umeanzisha thread! jf imeingiliwa kweli.
Wewe ndiye mpuuzi. Ameuliza kitu cha msingi badala ya kumjibu kwa hoja unaanza kumshambulia. BTW, kuanzisha thread hapa kunahitaji degree??
 
Mbona hujaanza kutuambia wewe unafanya nini,unataka kujua ili iweje, umetumwa .
Wanaukumbi, naomba kuuliza hivi BEN SAANANE na YERICKO NYERERE wanafanya kazi gani inayo waingizia kipato chao cha siku. kwakua siwaamini, nisingependa wenyewe wanijibu.
 
Hawa ni wameajiliwa na chadema kuchafua watu mitandaoni na wanalipwa vizuri ndo maana hawalali njaa na wamesimama kidete na kazi yao
 
Hawa ni wameajiliwa na chadema kuchafua watu mitandaoni na wanalipwa vizuri ndo maana hawalali njaa na wamesimama kidete na kazi yao
Ahsante mkuu kwa taarifa. Na je wapo kwenye ile Timu ya Ujasusi ya CHADEMA? Maana imeelezwa kuwa Ben Saanane alishiriki kuandaa ile Ripoti ya Siri juu ya Zitto Kabwe na Yeriko ndo alikuwa anaisambaza mitandaoni
 
Wewe ndiye mpuuzi. Ameuliza kitu cha msingi badala ya kumjibu kwa hoja unaanza kumshambulia. BTW, kuanzisha thread hapa kunahitaji degree??

msingi gani? unahitaji kujua kazi ya mtu ya nini? muanzisha thread ana kaliba ya umbea. angewa pm tu hop wangemjibu. kwa hiyo na utu uzima wako ukijua kazi zao then? angeanza kueleza sababu za kutaka kujua kazi zao tungepima hoja yake,
 
sasa kama yanakivuruga wewe inakuuma nini? acha umbeya wewe mtoto wa kike.

mkuu kuna watu wanaumbea wa kike sana, yaani wanafuatilia personal issues za watu, af utakuta kawajulia jf then anataka awajue mpaka madem zao, thread kama hizi tuwaachie waanzishe watoto wa kike.
 
kuna aina za mijadala ambazo hushusha hadhi ya jf kila kukicha...tutumie hii fursa kimaendeleo....mabadiliko ni mimi wewe na sote pamoja......fursa hii tunaweza kuitumia kuubadilisha ulimwengu....believe me.......
 
Mkuu, hakuna kinachoniuma ila ni jukumu la kila mmoja weru kuhakikisha kuwa watu wanafiki wanafichuliwa

yes! hiyo ndilo lengo lako, then kwanini unaficha lengo kwenye thread, analys unafiki wao kwenye thread then ndio ulete hoja, the problem is, hapa tunaonekana tunawadiskus wao, na sio unafiki wao.
 
Mkuu, ni vema wakajadiliwa hawa kwani imedhihirika kuwa ndo chanzo cha migogoro ndaninya CHADEMA

Migogoro ya CDM yanakuhusu nini ilhali wewe si mwanachama wala mshabiki wa chadema? Ya CDM waachie wanaCDM, wewe jadili ya CCM.
 
Back
Top Bottom