Wadada wengi hupendelea kuolewa na WAHAYA

Wadada wengi hupendelea kuolewa na WAHAYA

Status
Not open for further replies.
Umeongea point...ila na chumvi juu...kwa hiyo wenye waume ambao si wahaya waume zao malaika??si mara kumi muhaya anatoka nje lakini mama Koku anaendelea kupetiwa petiwa mpaka kushtuka kama anaibiwa inakuwa ngumu...

Unauhakika!? kumbuka hawa hupenda sana mpango wa kando pia isije ikawa ni gia anatumia kukupata wewe unafikiri anamaanisha..akili za kuambiwa changanya na zako mama..
 
Mkatae mkubali wahaya (Wa-israel wa TZ) ndo mambo yote na hawa ni baadhi ya WAHAYA waliofanikiwa zaidi
1. KARDINALI RUGAMBWA - Kardinali wa kwanza Mwafrika TZ
2. Prof RWEKAZA MUKANDALA - VC-UDSM
3. SALVA RWEYEMAMU - Ikulu
4. JAMAL MALINZI - TFF
5. PROF. TIBAIJUKA - UN/wizara ya ardhi
Mtajibeba/mtaji.nye.a kwa kuwaonea wivu wahaya (Wa-Israel wa TZ)

Na hii kupenda kujipambambanua kwa kuonyesha mpo sehemu flani ndo watu wanachowachukia na si kingine, kila kitu kikitokea mnachukua kalamu na kuanza kuweka tick kuonyesha idadi ya wahaya kwenye nafasi mbalimbali na wengine hata akiishi jirani na Profesa kwake ni mafanikio utasema na yeye ni Prof
 
Yaani wewe ndio umewaaibisha kabisa wenzio wanavyopenda sifa halafu kumbe kuna mwenzao anaupeo finyu kama wako!
 
aaahh...nyie munajificha au hamna cha kuonyesha...?

Na hii kupenda kujipambambanua kwa kuonyesha mpo sehemu flani ndo watu wanachowachukia na si kingine, kila kitu kikitokea mnachukua kalamu na kuanza kuweka tick kuonyesha idadi ya wahaya kwenye nafasi mbalimbali na wengine hata akiishi jirani na Profesa kwake ni mafanikio utasema na yeye ni Prof
 
Sasa wewe umeolewa siku nyiiingi afu unawambia watu wanaobisha ukawaonyeshe huyo mwanaume wa kihaya leo hii ulomkataa tangu 2009 na bado anakutamkia anataka kukuoa mpaka leo hii...something must be wrong somewhere....

Can't you get him out of your mind?

hawezi nipata nishaolewa siku nyiiingiii
 
Umeongea point...ila na chumvi juu...kwa hiyo wenye waume ambao si wahaya waume zao malaika??si mara kumi muhaya anatoka nje lakini mama Koku anaendelea kupetiwa petiwa mpaka kushtuka kama anaibiwa ienakuwa ngumu...

Nisamehe
 
Sasa wewe umeolewa siku nyiiingi afu unawambia watu wanaobisha ukawaonyeshe huyo mwanaume wa kihaya leo hii ulomkataa tangu 2009 na bado anakutamkia anataka kukuoa mpaka leo hii...something must be wrong somewhere....
Inaelekea umeguswa sana,namjua he is a friend ila ndio hivyo hawezi nioa
 
umenichekesha kweli....hawajaandamanaba baada kusoma hii comment????
 
nafanya kazi huko but I never wish that kwakweli.... hawa watu wasikie tu usiombe ufanye nao kazi wana roho mbaya sana hawa...ofisini wakaka wahayawananitaftia vijisababu kila kukicha.. na hawanipati ng'o.

Achana nao kabisa hawa wakiwa makazini ni hatari tupu........

nilikutana nao ofisi moja hapo geita zaidi ya asilimia 90 walikuwa wao hapo ofisini , , , , hasa hasa Boss ndiyo alikuwa na roho ya korosho , nikaona isiwe tabu , kwanza kwa taaluma yangu nilikuwa nahitajika sehemu zingine nikasepa zangu.
 
Sizitaki mbichi hizi...najua kaka zangu wana nyodo...hawasombi hovyo hovyo; lazima uwe na vigezo...kuna msemo huo 'ukila mbwa kula wa kizungu'....

Mimi sijawahi kumla Mwanamke wa kihaya , natafuta mmoja nimpige katerero ya kitutsi (kunyanza)........ any available option huko kwen nyumba kubwa huko kweni?
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom