Kwa uhaya wangu sijawahi kukataliwa na msichana yeyote
Duh! yangu macho tu, yaani kumbe Wajaluo wetu Kenya wana wenzao Tanzania kwa misifa.... cc: kadoda11
hahaha... Inawezekana hata ungetaka kuolewa nao usingepata wa kukuoa huko so bora ulijijua mapema
Infwact...ni watamu sana wanawake zao japo in nature ni wachafu na wavivu kwenye mambo ya kimaendeleo ila kitandani juhudi 100%.
Kwa uhaya wangu sijawahi kukataliwa na msichana yeyote
Mimi nawashangaa hawa watoa povu...nina dada yangu huyo alitumia ujana wake ipasavyo (headache kwenye familia) alikuwa analiza watu pindi anapowambia its over
na wote hao wanaoangua vilio hawakuwa wahaya ni banyamahanga...
sasa hawa wanasema wahaya wanadoda naona kama wanaongea kichina...
Kaka michaga humu bado inaponda hasa wadada wao kichaga maana hawana nafasi kwa kijana wa kashozi, sababu ya ubabe wao na uhard desire wao, mijidume inaona wivu!
Angalia usije kusema unaonja ukazamia mazima...waulize vizuri wenzio....shaurilo...
Unaweza usiolewe ila akachapa nao, na kuishia. Topic nyingine zimekaa ki desperate mno. Mxiiiiii
hahaaa inaelekea wahaya wengi humu, msipanic ni maamuzi yangu tu hayo kutoolewa na nyie,by the way mi mchaga pure
Mi wahaya TUPA KULE wana sura ngumu, roho mbaya hawapendi ndugu,
huna sifa za kuolewa na mhaya weye
Wahaya mtakuwa mnapendwa kwasababu ya magovi
Hivi kumbe ni mkono wa sweta
Siyo kwa magwiji.........