Wadada wengi hupendelea kuolewa na WAHAYA

Wadada wengi hupendelea kuolewa na WAHAYA

Status
Not open for further replies.
aaahhh 'we are like fire and gasoline...you are not good for me... am not good for you...'

Nani asiependa mume kama Kinyondo (RIP) kama si yule asoyajua mapenzi....

Nyie watu mnanikumbusha mbunge wangu(by then), Sebastian Kinyondo pale Bukoba,usingeongea naye zaidi ya dakika 10 kabla hajamtaja mke wake Koburungo ...mpaka bungeni kila mara alimsifia sana mke wake Koburungo,kusema kweli kama ni sifa ndio tunazo lakini si tunajisifia tuliyonayo? hebu basi na nyie haya tushawishi kwa mliyonayo kama mnayo,hili kabila linaogopwa kwasababu ni superior na ndo maana wajinga wanashinda kulitukana lakini nimewaambia,mtajichosha bure kwani hawa watu wanavyo wanavyovilingia kweli
 
Mmoja wao huyu...ameshaitwa X sasa amejaa chuki ya kutemwa...(maana haiingia akilini mtu atake kukuoa tu barabarani)

hukunielewa nilichomaanisha,sijawahi kudate mhaya so tht means sijawahi kuwa X wa mhaya,ila yupo kaka wa kihaya mpk leo hii anawish kunioa,upooo?
 
Atakuwa anakutania...hakuna mwanamme anatangaza ndoa like crazy bila hata kukuonja...wewe unataniwa unadhani ni kweli...

Kila mtu akisema wanaomuita 'mchumba' 'mchumba' wanataka kweli kuwaoa si watashangaa watu....

Is it the first time mtu kukutania anataka akuoe..?
hukunielewa nilichomaanisha,sijawahi kudate mhaya so tht means sijawahi kuwa X wa mhaya,ila yupo kaka wa kihaya mpk leo hii anawish kunioa,upooo?
 
imekuwa ni tabia sasa wadada wengi kupendelea kupata mwanaume wa kihaya kama mpenzi kisha mume hususan wadada wa kichaga na kinyakyusa, pengine hutupenda sisi wahaya kwa sababu wengi wetu ni wasomi wa hali ya juu, tuna maisha mazuri so hata tunaozaa watakuwa na akili sana na kitandani tupo fit sana maana tunajua kumridhisha mwanamke mpaka kufikia mshindo (orgasm) kwa style za ki-asili- kate.rero. Wadada karibuni sana kagera (home of the brave)

kagera(home of talkers)
 
Atakuwa anakutania...hakuna mwanamme anatangaza ndoa like crazy bila hata kukuonja...wewe unataniwa unadhani ni kweli...

Kila mtu akisema wanaomuita 'mchumba' 'mchumba' wanataka kweli kuwaoa si watashangaa watu....

Is it the first time mtu kukutania anataka akuoe..?

unaongea as if u know everything or u know me tht much! anyway sitaki ligi ila huo ndio ukweli nilioongea
 
nafanya kazi huko but I never wish that kwakweli.... hawa watu wasikie tu usiombe ufanye nao kazi wana roho mbaya sana hawa...ofisini wakaka wahayawananitaftia vijisababu kila kukicha.. na hawanipati ng'o.
 
Sizitaki mbichi hizi...najua kaka zangu wana nyodo...hawasombi hovyo hovyo; lazima uwe na vigezo...kuna msemo huo 'ukila mbwa kula wa kizungu'....
 
imekuwa ni tabia sasa wadada wengi kupendelea kupata mwanaume wa KIHAYA kama mpenzi kisha mume hususan wadada wa kichaga na kinyakyusa, pengine hutupenda sisi wahaya kwa sababu wengi wetu ni wasomi wa hali ya juu, tuna maisha mazuri so hata tunaozaa watakuwa na akili sana na kitandani tupo fit sana maana tunajua kumridhisha mwanamke mpaka kufikia Mshindo (Orgasm) kwa style za ki-asili- KATE.RERO. Wadada karibuni sana KAGERA (HOME OF THE BRAVE)

Sikushangai,cz ni kawaida yenu misifaaa……
 
Ukipendwa na mwanaume wa Kihaya nenda kwenye kioo ujikague...lazima unalipa...else count yourself lucky....maana umewezaje kushindana na kina Koku
 
Mimmo nami niupokee huo upako maana katika vitu ninavowish ni kutokuolewa na mhaya hayo masifa dah unaweza ukafa kwa presha au aibu mmmmh.
 
Last edited by a moderator:
Akili za usiku plus
934781_556588437717482_1501096353_n.jpg

Hujadanganya hata kidogo..
 
are u sure? nitafute nikuoneshe mkaka wa kihaya ambae mpaka leo hii anatamani kunioa, toka 2009

Unauhakika!? kumbuka hawa hupenda sana mpango wa kando pia isije ikawa ni gia anatumia kukupata wewe unafikiri anamaanisha..akili za kuambiwa changanya na zako mama..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom