miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,110
Duh sikujua hilo ? Wazee wakaterero mmh bwana weee aya bwana.... ila labda tunakubali kwa kuwa mnapenda sifa ukiambiwa kajenge ukweni fasta tu iliutengeneze popularity aya bana

Ha ha ha mbavu zangu jamanYaani wewe ndio umewaaibisha kabisa wenzio wanavyopenda sifa halafu kumbe kuna mwenzao anaupeo finyu kama wako!
Ha ha ha mbavu zangu jaman
Na wewe unawasifia?
Mimi ninaguswa na utamaduni wao kule nyumbani kwao! Hayo mengine sijui kuhusu kate na mengine siyo muhimu ila nenda vijijini uone wanavyoishi! Utafurahi kabisa.
Na wewe unawasifia?
Karibu Kijumo...tubadili hilo jina la u 'miss'...
usikonde hata vogue tutakununulia mradi tusafishe jina ukweni....
imekuwa ni tabia sasa wadada wengi kupendelea kupata mwanaume wa KIHAYA kama mpenzi kisha mume hususan wadada wa kichaga na kinyakyusa, pengine hutupenda sisi wahaya kwa sababu wengi wetu ni wasomi wa hali ya juu, tuna maisha mazuri so hata tunaozaa watakuwa na akili sana na kitandani tupo fit sana maana tunajua kumridhisha mwanamke mpaka kufikia Mshindo (Orgasm) kwa style za ki-asili- KATE.RERO. Wadada karibuni sana KAGERA (HOME OF THE BRAVE)
Sasa mpaka nikutafutie mie ndugu yangu...huna vigezo au?
na kama ushapiga kwingine muhaya unamtakia nini...au unaamini ya muhaya 'tamu' zaidi....
Anataka kuogelea mto kagera.
Karibu sana BK..upate mramba, ndizi kwenye mbabi, na senene...tena utakaa kwenye manyasi hata kama nyumba ni ya ghorofa...
Ha ha hq mimi nataka uninunulie jeep na ujenge kwetu nitajiita miss haya
Muhaya??!! Katerero man...no please
Yoote hayo ufanyiwe afu uendelee kujiita miss...ikifikia hapo tayari wewe ni mama Koku aka Mrs Rugarabamu
Muhaya??!! Katerero man...no please
Nakubali kuitwa mama koku tu amana shida
Ahhhh tupa kule na katerero zao siwazimii mie....Evelyn sasa hupendi nini? Katerero, wahaya au both?
Katerero toka kwa mchagga au kabila ingine pia hutaki?