Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 77,788
- 168,147
Si bora hata kukojoleshwa mmmh no mzuka tu na hao nshomileKukojoleshwa mpaka ukaukie nani anataka
Si bora hata kukojoleshwa mmmh no mzuka tu na hao nshomileKukojoleshwa mpaka ukaukie nani anataka
Si bora hata kukojoleshwa mmmh no mzuka tu na hao nshomile
Si bora hata kukojoleshwa mmmh no mzuka tu na hao nshomile
Okay...ngoja nikutafutie kaka yangu...tena mwenye PhD 3 toka America...
I like Chaggas bcos they resemble Europeans bhojo....
by the way wahaya tunapenda challenges...
achana na vyasika wengine wanaolia lia humu Chagga this Chagga that...kumbe tatizo wenyewe viwango vyao ni vya chini....
Chaggas need men with confidence...Hayas fit perfectly...
Ndo wapi huko kwenye ugali wa kurumangia?Ulishajaribu lakini au unatumia story za vijiweni kufanya conclusion....
Au unatokea kule ambako wanakula ugali wa kurumangia...katerero inadunda....
Am waiting for u feedback aisee nipe huyo kaka yako niitwe mama koku
Ndo wapi huko kwenye ugali wa kurumangia?
natokea mwanza kwenye jiji la wasukuma, rock city jirani na hao nshomile
na nishakaa nao sana siwataki hata dakika moja mie
Weee mhaya wa 'Buzi'??
Utamu wa wahaya uko kwenye 'njoge' mbichi
.
Ndo wapi huko kwenye ugali wa kurumangia?
natokea mwanza kwenye jiji la wasukuma, rock city jirani na hao nshomile
na nishakaa nao sana siwataki hata dakika moja mie
Mkavu mi mti? Siwapendi tu mie....Ugali wa kuurumangia ni ugali unaoliwa na mboga kavu hata kama samaki au dagaa visivyo na mchuzi....
Lazima uwe mkavu walahi kama hiyo ndio daily menu....
Wahaya mnavitabia vya ajabu wengi wenu....Kukaa nao tu jirani umetuchoka...?
Au kuna mjinga mjinga amekutenda jameni?
Mimi mbona mume wangu mzaliwa wa mwanza (msukuma)...tena town kabisa karibu na uwanja wa ndege...na kaishi nao kama wewe lakini hakutuchoka?
Wahaya mnavitabia vya ajabu wengi wenu....
hiyo kwa mmeo ni kipenda roho tu, ila mie hapana....
imekuwa ni tabia sasa wadada wengi kupendelea kupata mwanaume wa KIHAYA kama mpenzi kisha mume hususan wadada wa kichaga na kinyakyusa, pengine hutupenda sisi wahaya kwa sababu wengi wetu ni wasomi wa hali ya juu, tuna maisha mazuri so hata tunaozaa watakuwa na akili sana na kitandani tupo fit sana maana tunajua kumridhisha mwanamke mpaka kufikia Mshindo (Orgasm) kwa style za ki-asili- KATE.RERO. Wadada karibuni sana KAGERA (HOME OF THE BRAVE)
Kwani wewe hujamsikia mwana FA? mapenzi kwao ni tanga bhana huko kwenu ni misifa tu!!
Ndo maanake hawa jamaa huwa hawatoi kabisa ilo la kufyodoka
Wadada mnaopendelea kuolewa na wanaume wa kihaya mko wapiii??? Hebu nyoosheni mikono tuwaone!!
Wadada mnaopendelea kuolewa na wanaume wa kihaya mko wapiii??? Hebu nyoosheni mikono tuwaone!!