Wadada wengi hupendelea kuolewa na WAHAYA

Wadada wengi hupendelea kuolewa na WAHAYA

Status
Not open for further replies.
Nokia Mujwahuzi,
Samsung Ngemera,
Ringtone Kyaruzi,
Sms Byarugaba,
Whatsapp Byagarama,
Ipad Rwechugula,
Apple Kafanabo,
Charging Mulokozi
Na na na na na!!!
 
Umewaambia ukweli ndugu,ni kabila linalopondwa sana ila kwa utafiti ni kwasababu ya uimara wao,unakuta wengine hawana vitu fulani kama wahaya basi kinachofata ni kuwachukia na kuwaita wanajidai

Mtu analingia chake kama huna utalingia nini? Na kadri mnavyowachukia mnajiumiza wenyewe kwani wanajua na uwezo wanao na wako strict sana,hii inanikumbusha pale inavyotokea mtu kafanya jambo utasikia huyo siyo mhaya halisi,kwanini? kwasababu wanategemea mhaya ana misimamo,hayumbishwi na anajiamini
 
Mkatae mkubali wahaya (Wa-israel wa TZ) ndo mambo yote na hawa ni baadhi ya WAHAYA waliofanikiwa zaidi
1. KARDINALI RUGAMBWA - Kardinali wa kwanza Mwafrika TZ
2. Prof RWEKAZA MUKANDALA - VC-UDSM
3. SALVA RWEYEMAMU - Ikulu
4. JAMAL MALINZI - TFF
5. PROF. TIBAIJUKA - UN/wizara ya ardhi
Mtajibeba/mtaji.nye.a kwa kuwaonea wivu wahaya (Wa-Israel wa TZ)

Hivi wachagga wakianza kujipigia promo hapa nani atawaweza?
 
Nawakubali sana wahaya wanajali sana wake zao na wanajua sana mapenzi wanaume wengi wanawaita wahaya wahuni kwa vile wananyanganywa sana mademu zao huwezi kushindana na mhaya kwa mwanamke aisee jamaa wanajua sana kubembeleza na hata akimpata demu anamtosheleza ni adimu kuckia mhaya kanyanganywa ila anawaliza wengine. Dada zangu watatu wameolewa na wahaya na mdogo wangu ana ndoto za kuolewa na mhaya.
 
Na ndio uzuri wetu sasa...unakuta mume wa kihaya anajivunia kila kitu mpaka mkewe...nani asopenda mume wa hivyo...Kaka zangu wanaongoza kwa ku show malovedave...kama huna habari,,,,na hiyo ndio inawaroga...

This is my lovely wife Mama Koku.....

Mume wa kabila gani atatoa hiyo intro...??????mnalo hilo




Kwa hiyo umeishi na o kanda ya ziwa na kushuhudia wanakosa waume wa kuwaoa....kwangu hii ni news maana sina ndugu aso na mume...
Na ukawalinganisha na dada zako ukaona wao wanapata waume...embu tupe kabila lako kwanza...

Point of correction, sijasema wanakosa waume wa kuwaoa.Rejea post yangu ya kwanza, nmesema sijaona msichana analilia kuolewa na mhaya.
 
Huo ni ukweli ila unauma...nikiangalia baba yangu alivyokuwa anamshika mama kiuno wakiwa kwenye sherehe tena uzeeni...ni kitu rare sana kwa baadhi ya makabila...kwa nini wasinune...

Hata mtu kumpenda mkewe wanasema wanajidai...aaahhh

Japo sasa wameachana my mum ana story kibao za kuwasimulia wajukuu...kama maisha ya malovedave aliyaishi

Nawakubali sana wahaya wanajali sana wake zao na wanajua sana mapenzi wanaume wengi wanawaita wahaya wahuni kwa vile wananyanganywa sana mademu zao huwezi kushindana na mhaya kwa mwanamke aisee jamaa wanajua sana kubembeleza na hata akimpata demu anamtosheleza ni adimu kuckia mhaya kanyanganywa ila anawaliza wengine. Dada zangu watatu wameolewa na wahaya na mdogo wangu ana ndoto za kuolewa na mhaya.
 
Uliona 'wanalilia' kuolewa na nani?...kwani ili mtu aolewe ni mpaka alie?


Point of correction, sijasema wanakosa waume wa kuwaoa.Rejea post yangu ya kwanza, nmesema sijaona msichana analilia kuolewa na mhaya.
 
Huna haja ya kukaa mbali...maana na sie tu prefer kuongea kinyumbani...automatically huwezi kujichanganya na sie hata ungependa iwe hivyo


Yaan kwanza nikijua tu hata mdada ni mhaya hua nakaa nao mbaliii
 
Wamekaa pembeni wanakusoma humu kimya kimya...


Mtoa mada kasema imekua ni kawaida kwa wadada wengi kutaka kuwa na mahusiano na wahaya na hatimae ndoa.Nimebisha kwa kusema sijawai ona binti wa ivyo.Na ukweli ndoa huo sijawai ona.
 
Mmoja wao huyu...ameshaitwa X sasa amejaa chuki ya kutemwa...(maana haiingia akilini mtu atake kukuoa tu barabarani)


are u sure? nitafute nikuoneshe mkaka wa kihaya ambae mpaka leo hii anatamani kunioa, toka 2009
 
Mbona mnajipigia sana tu ila ishu zenu ni kuiba pesa tu kwenye mapenzi ni sifuri hampo. Ndo maana wanawake hawawataki na mtaendelea kuchapiwa na wahaya.

Hujui unachokiandika, unamwambia nani anaiba pesa na hajui mapenzi? nimetumia wachagga kama kuonesha namna walivyo matajiri mjini ila wameuchuna tu, halafu mimi sio mchagga sijui unamwambia nani huyo kuwa anaiba pesa na hajui mapenzi.
 
Aaah...leo nimeamka na mood ya kubishana...te te te...ghafla nimekutana na huu uzi nikasema ngoja nipoteze muda na kumaliza kiu yangu...nikiamua kubisha hata blue ntasema nyeusi....na usipokuwa makini utaniunga mkono....


Naona leo wamekufikisha nyumbani haha haaa
 
Actually wahaya tupo juu sana kwa kila kitu, ndo maana mnatuchukia
 
Nyie watu mnanikumbusha mbunge wangu(by then), Sebastian Kinyondo pale Bukoba,usingeongea naye zaidi ya dakika 10 kabla hajamtaja mke wake Koburungo ...mpaka bungeni kila mara alimsifia sana mke wake Koburungo,kusema kweli kama ni sifa ndio tunazo lakini si tunajisifia tuliyonayo? hebu basi na nyie haya tushawishi kwa mliyonayo kama mnayo,hili kabila linaogopwa kwasababu ni superior na ndo maana wajinga wanashinda kulitukana lakini nimewaambia,mtajichosha bure kwani hawa watu wanavyo wanavyovilingia kweli
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom