Aya bana...kuwa makini ...wewe mke wa mtu bana ...'urafiki' na opposite sex...tena 'muhaya'...haya bana...
acha uoga bwana
Aya bana...kuwa makini ...wewe mke wa mtu bana ...'urafiki' na opposite sex...tena 'muhaya'...haya bana...
Wewe mtutsi? naanza na interview lol...
Achana nao kabisa hawa wakiwa makazini ni hatari tupu........
nilikutana nao ofisi moja hapo geita robo zaidi ya asilimia 90 walikuwa wao hapo ofisini , , , , hasa hasa Boss ndiyo alikuwa na roho ya korosho , nikaona isiwe tabu , kwanza kwa taaluma yangu nilikuwa nahitajika sehemu zingine nikasepa zangu.
nikitumia ya kwenu mtasema nimewaaiga......... kumbe ni practice ya kawaida......
sasa, kinaeleweka?
aaahh...nyie munajificha au hamna cha kuonyesha...?
we acha tu..... sasa nimeajiriwa serikalini nipo wilaya Fulani hivi najuuutaaa kupafahamu...maafisa utumishi wahaya, mkuu wa wilaya muhaya.\, mkurugenzi muhaya,bosi wetu muhaya... kama wee si muhaya utapeleka wapi shida yako isikilizwe kirahisi!!!!!!???? yani mpaka usote lasivo uwe tayari kugawa.....
Wahaya mtakuwa mnapendwa kwasababu ya magovi
aaaahhhh kajaribu hiyo kitu kwa binti wa kabila nyingine...kwani mpaka muhaya...
au unajua kuwa kwa wengine ukawii kuikimbiza kwenye feni...teh teh teh
katerero na binti alokulia ugali wa kuurumangia unadhani vinaenda...
Weee mhaya wa 'Buzi'??
Utamu wa wahaya uko kwenye 'njoge' mbichi
.
nataka muhaya , wengine tayari nina uzoefu nao.
mmmh naona full kujisifia kama kawaida yenu
Ni wa kuwazoea tu hao maana wana changamoto but ukiwazoea utapiga kazi kama kawaida na utapata marafiki na wanakukaribisha ndizi zao za kusongawe acha tu..... sasa nimeajiriwa serikalini nipo wilaya Fulani hivi najuuutaaa kupafahamu...maafisa utumishi wahaya, mkuu wa wilaya muhaya.\, mkurugenzi muhaya,bosi wetu muhaya... kama wee si muhaya utapeleka wapi shida yako isikilizwe kirahisi!!!!!!???? yani mpaka usote lasivo uwe tayari kugawa.....
Kumbe na wewe umesha onja wahaya...naendelea ku collect data ili kupata evidence ya mleta uzi...
Wahaya wengi huwa hawakati magovi yao ndo na wanawake wengi ckuizi wanapenda wa type hiyo
Sasa mpaka nikutafutie mie ndugu yangu...huna vigezo au?
na kama ushapiga kwingine muhaya unamtakia nini...au unaamini ya muhaya 'tamu' zaidi....
hiyo ya utamu sina uhakika nalo ,,,,,,,,,,,,
ila kuna jambo kuhusu maumbile yao ndiyo linalonishawishi...........
Wapi Rutashobya, rwekaza, mjuni, balyoruguru, rugemalila, rwechungura bila kumsahau mama koku ebu ukiguswa tujuze ukweli ea nini mambo!Bishanga ya kweli haya?
Mmh bora kuishi single kuliko kuolewa na wahaya,