Wadada wengi hupendelea kuolewa na WAHAYA

Status
Not open for further replies.
Acha ulimbukeni. Katerero hata Wazungu wanaijua na ina Maelezo ya kisayansi inaenda endaje. Google Woman squirting uonyeshwe hata na video ya Maelezo ya kisayansi inavyotokea.

Sio kweli maelezo yako,ni vitu viwili tofauti, Uliza uambiwe inavyofanywa!!!
 
imekuwa ni tabia sasa wadada wengi kupendelea kupata mwanaume wa KIHAYA kama mpenzi kisha mume hususan wadada wa kichaga na kinyakyusa, pengine hutupenda sisi wahaya kwa sababu wengi wetu ni wasomi wa hali ya juu, tuna maisha mazuri so hata tunaozaa watakuwa na akili sana na kitandani tupo fit sana maana tunajua kumridhisha mwanamke mpaka kufikia Mshindo (Orgasm) kwa style za ki-asili- KATE.RERO. Wadada karibuni sana KAGERA (HOME OF THE BRAVE)

Ni kweli wahaya wengi walikwenda shule lakini si wewe. Unahitaji kukaza buti mtu wangu. Hapo penye bold panadhihirisha umesoma shule za kata. Hakuna mtu aliyesoma anayeweza kuongea akasema 'so' kati kati ya statement. Ni watoto wasiojielewa kielimu ndio hao!

Kazu buti nenda shule.
 
hahaaa inaelekea wahaya wengi humu, msipanic ni maamuzi yangu tu hayo kutoolewa na nyie,by the way mi mchaga pure

Kumbe shemeji yangu alafu unakandia hivyo!!!utakua sio mchaga Wa uchagani wewe.
 
Wahaya ni matapeli cku hizi, shule ilikuwa zamani. Kuna nyumba nyingi tu hazikubali kupangisha wahaya kw ajili ya utapeli!
 
imekuwa ni tabia sasa wadada wengi kupendelea kupata mwanaume wa KIHAYA kama mpenzi kisha mume hususan wadada wa kichaga na kinyakyusa, pengine hutupenda sisi wahaya kwa sababu wengi wetu ni wasomi wa hali ya juu, tuna maisha mazuri so hata tunaozaa watakuwa na akili sana na kitandani tupo fit sana maana tunajua kumridhisha mwanamke mpaka kufikia Mshindo (Orgasm) kwa style za ki-asili- KATE.RERO. Wadada karibuni sana KAGERA (HOME OF THE BRAVE)

Acha kujifagilia, uongo mtupu, na hili ndo tatizo la wengi wenu, SIFA. Nina uhakika wewe si mmoja wa hao wasomi unaosema, kama ni msomi basi nina mashaka na uhalali wa elimu yako. Kama wajua au ndivyo basi acha wengine wakusemee, sio wewe mwenyewe!
 
Mkatae mkubali wahaya (Wa-israel wa TZ) ndo mambo yote na hawa ni baadhi ya WAHAYA waliofanikiwa zaidi
1. KARDINALI RUGAMBWA - Kardinali wa kwanza Mwafrika TZ
2. Prof RWEKAZA MUKANDALA - VC-UDSM
3. SALVA RWEYEMAMU - Ikulu
4. JAMAL MALINZI - TFF
5. PROF. TIBAIJUKA - UN/wizara ya ardhi
Mtajibeba/mtaji.nye.a kwa kuwaonea wivu wahaya (Wa-Israel wa TZ)
 
imekuwa ni tabia sasa wadada wengi kupendelea kupata mwanaume wa KIHAYA kama mpenzi kisha mume hususan wadada wa kichaga na kinyakyusa, pengine hutupenda sisi wahaya kwa sababu wengi wetu ni wasomi wa hali ya juu, tuna maisha mazuri so hata tunaozaa watakuwa na akili sana na kitandani tupo fit sana maana tunajua kumridhisha mwanamke mpaka kufikia Mshindo (Orgasm) kwa style za ki-asili- KATE.RERO. Wadada karibuni sana KAGERA (HOME OF THE BRAVE)

MAN JF is a home of great thinkers so be the one.
hii sio mada ya kuletwa seham kama hii unless HAUJIELEWI...!!
NB:Sorry for speaking the truth i know it hurts
 
Kwa misifa yao mie niwapeleke wapi?Yani sijawahi kuwaza hata kudate na muhaya
 
wanawake wa kihaya wanasifa ingine kubwa ambayo si nzuri. hata wengine wakijihusisha na hilo hujumuishwa kuwa ni wahaya
 
Mkatae mkubali wahaya (Wa-israel wa TZ) ndo mambo yote na hawa ni baadhi ya WAHAYA waliofanikiwa zaidi
1. KARDINALI RUGAMBWA - Kardinali wa kwanza Mwafrika TZ
2. Prof RWEKAZA MUKANDALA - VC-UDSM
3. SALVA RWEYEMAMU - Ikulu
4. JAMAL MALINZI - TFF
5. PROF. TIBAIJUKA - UN/wizara ya ardhi
Mtajibeba/mtaji.nye.a kwa kuwaonea wivu wahaya (Wa-Israel wa TZ)

Mkatae mkubali wahaya (Wa-israel wa TZ) ndo mambo yote na hawa ni baadhi ya WAHAYA waliofanikiwa zaidi
1. KARDINALI RUGAMBWA - Kardinali wa kwanza Mwafrika TZ
2. Prof RWEKAZA MUKANDALA - VC-UDSM
3. SALVA RWEYEMAMU - Ikulu
4. JAMAL MALINZI - TFF
5. PROF. TIBAIJUKA - UN/wizara ya ardhi
Mtajibeba/mtaji.nye.a kwa kuwaonea wivu wahaya (Wa-Israel wa TZ)

mbona nyie wapenda sifa sana? Hapa umechangia nje ya mada. Umetaja watu hapa kana kwamba ni top wa kila kitu.

Mbona hamjawahi kuwa na watu wafuatao.
1.rais
2.waziri mkuu
3.makamu wa rais
4.spika wa bunge
5.mwanasheria mkuu
6.naibu spika
7.jaji mkuu

ACHENI SIFA ZA KIJINGA.
Wachaga wakija hapa watatuambia, wamewahi kuwa na gavana wa benki kuu mtei, mrema-naibu waziri mkuu.

Wasukuma,chenge wanasheria mkuu,spika samuel sita,wakerewe msekwa, mogera OAU, WAKWERE,WAMAKUA,WAZANAKI WAMETOA MARAIS NK.
 
imekuwa ni tabia sasa wadada wengi kupendelea kupata mwanaume wa KIHAYA kama mpenzi kisha mume hususan wadada wa kichaga na kinyakyusa, pengine hutupenda sisi wahaya kwa sababu wengi wetu ni wasomi wa hali ya juu, tuna maisha mazuri so hata tunaozaa watakuwa na akili sana na kitandani tupo fit sana maana tunajua kumridhisha mwanamke mpaka kufikia Mshindo (Orgasm) kwa style za ki-asili- KATE.RERO. Wadada karibuni sana KAGERA (HOME OF THE BRAVE)
Duh! yangu macho tu, yaani kumbe Wajaluo wetu Kenya wana wenzao Tanzania kwa misifa.... cc: kadoda11
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom