Wadada wengi hupendelea kuolewa na WAHAYA

Wadada wengi hupendelea kuolewa na WAHAYA

Status
Not open for further replies.
Leo ndo nasikia wahaya ni ladies' wanted.

Wadada hebu tuambieni wenyewe. Wangapi wasio wahaya wasoma humu ambao wangependa kuolewa na wahaya? Nauliza mana sijawahi kusikia kabla kuwa waume wa kihaya ni chaguo0kwa weng
 
Wanasema inzi kufikia kidondani...wanabonda wahaya lakini kafanye sensa uone ni wangapi wamepitiwa...sijuhi ni udadisi ama?aaahhh

Kuna mmoja alikuwa anajiliza kwangu NK kaka zako bana hawajatulia...kimoyo moyo namjibu ulishikiwa bastola....maana na ndoa juu...

...kama malaya wako kila kabila the only difference ni kuwa wahaya si wajinga...wajasiria mali...hawagawi bure....they are making money out of it....ingawa naona kuna wengine wamevamia soko as well...watu wanajiuza Amsterdam, The Hague mnawashangaa wahaya buguruni na manzese????acheni ushamba....
 
Kumbe shemeji yangu alafu unakandia hivyo!!!utakua sio mchaga Wa uchagani wewe.

mimi pure mchaga yaani halisi kabisa,ila tuuu ndio maamuzi niliyoyaamua kwani ni dhambi jamani,mtu yoyote anaweza kuamua kabila gani ataoa/kuolewa
 
Mh tupo tofauti. It has never crossed my mind hata!
 
Kwa hiyo wahaya wote wamedoda au wanaoa na kuoelwa na kaka na dada zao...kafanye research vizuri...au labda umekulia Lindi...


Kwa umri nlionao sijawai msikia msichana anataka kuolewa na mhaya.Sanasana wanawaponda et wahuni.
 
Kwa hiyo wahaya wote wamedoda au wanaoa na kuoelwa na kaka na dada zao...kafanye research vizuri...au labda umekulia Lindi...

Sio wote wamedoda asilimia kubwa.Mbona mkiambiwa wengi mmesoma hamfoki.Kwa taarifa yako nmeishi nao kanda ya ziwa.
 
Na ndio uzuri wetu sasa...unakuta mume wa kihaya anajivunia kila kitu mpaka mkewe...nani asopenda mume wa hivyo...Kaka zangu wanaongoza kwa ku show malovedave...kama huna habari,,,,na hiyo ndio inawaroga...

This is my lovely wife Mama Koku.....

Mume wa kabila gani atatoa hiyo intro...??????mnalo hilo


sifa zenu ni majivuno
 
Kwa hiyo umeishi na o kanda ya ziwa na kushuhudia wanakosa waume wa kuwaoa....kwangu hii ni news maana sina ndugu aso na mume...
Na ukawalinganisha na dada zako ukaona wao wanapata waume...embu tupe kabila lako kwanza...

Sio wote wamedoda asilimia kubwa.Mbona mkiambiwa wengi mmesoma hamfoki.Kwa taarifa yako nmeishi nao kanda ya ziwa.
 
Afu nimegundua wahaya wanawatishia amani watu wengi...wanaogopa kuporwa wenza wao...maaana wanajua hiyo ndio itakuwa ntolee...hakun kugeuka nyuma

eeehhheeee
 
Ila wanaume wa kihaya mmezidi kwa ufundi mpaka mnaramba visivyostahili kulabwa angalieni siku hizi magonjwa ni mengi.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom