Wadada wengi hupendelea kuolewa na WAHAYA

Wadada wengi hupendelea kuolewa na WAHAYA

Status
Not open for further replies.
imekuwa ni tabia sasa wadada wengi kupendelea kupata mwanaume wa KIHAYA kama mpenzi kisha mume hususan wadada wa kichaga na kinyakyusa, pengine hutupenda sisi wahaya kwa sababu wengi wetu ni wasomi wa hali ya juu, tuna maisha mazuri so hata tunaozaa watakuwa na akili sana na kitandani tupo fit sana maana tunajua kumridhisha mwanamke mpaka kufikia Mshindo (Orgasm) kwa style za ki-asili- KATE.RERO. Wadada karibuni sana KAGERA (HOME OF THE BRAVE)
Wacha bwana! We kweli MHAYA, Purely Nshomile! Nimesoma mpaka na kiatu changu kimesoma (Katika lafudhi ya kihaya)!
 
Kwa kupenda sifa hadi wanaume mtataka kuolewa sasa
 
Hebu kaandike tena na ujaribu kupangilia mawazo yako vizuri..
 
Mbona sijawahi kusikia mdada anayesema anapenda wahaya
 
Yaani kati ya makabila yote Tanzania niliahidi kutoolewa na mhaya,nashukuru nimetimiza ahadi ya kutoolewa nao.
 
Yaani kati ya makabila yote Tanzania niliahidi kutoolewa na mhaya,nashukuru nimetimiza ahadi ya kutoolewa nao.

hahaha... Inawezekana hata ungetaka kuolewa nao usingepata wa kukuoa huko so bora ulijijua mapema
 
Acha ulimbukeni. Katerero hata Wazungu wanaijua na ina Maelezo ya kisayansi inaenda endaje. Google Woman squirting uonyeshwe hata na video ya Maelezo ya kisayansi inavyotokea.

Msamehee tu uyo kakosa chakuandika
 
Yaani kati ya makabila yote Tanzania niliahidi kutoolewa na mhaya,nashukuru nimetimiza ahadi ya kutoolewa nao.

Sasa we mzaramo mcheza ngoma na midundiko alafu udate na mhaya WAP na WAP !!!!!utaolewa na wacheza midundiki wenzako.pole sana
 
Sasa we mzaramo mcheza ngoma na midundiko alafu udate na mhaya WAP na WAP !!!!!utaolewa na wacheza midundiki wenzako.pole sana

hahaaa inaelekea wahaya wengi humu, msipanic ni maamuzi yangu tu hayo kutoolewa na nyie,by the way mi mchaga pure
 
Sina la kuongezea.
Mleta mada ameshafafanua kila kitu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom