Wadada wazuri mna shida gani lakini?

Wadada wazuri mna shida gani lakini?

Weh mimi sio me mimi ni kee ila humu nakutania tu utalogwa
Najua kwamba wewe ni ke ndiyo maana nikakuuliza bwana mkubwa vipi kila mmoja ashashika 50 zake?

hiyo bwana mkubwa nilimaanisha yule mwana yanga anaependa kuandika hivi..
 
Tajiri hasalimii.

Unakuta mtoto mkaliii halafu anatoka na mhuni yuko rafu rafu, mchafu kufuwa kipengele, kuoga hadi mvua imnyeshee, ananuka vumba saa ingine masigara bwege yanapita humo humo.

Halafu watu wa maana kama mimi Tajiri Sina BAYA tunaenda kutupa ndoano anatema.
Hivi huwa mna nini nyie wadada wa hivyo?
Kweli huna baya Tajiri yetu..Hao waache na Maskanka yao
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom