Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,850
- Thread starter
- #61
Ushajiingiza kwenye 18 mkuu subiri nipate maelezo kule hayo yote utayaeleza ulingoni.
Ni matani tu tajiri wangu 😀.
Ni matani tu tajiri wangu 😀.
Hahahah 😂😂😂Ishajiingiza kwenye 18 mkuu subiri nipate maelezo kule hayo yote utayaeleza ulingoni.
Bishoo anazipatia wapi nguvu?Sasa wanatukataa sisi watu wamaana wanajuaje kwamba hatuna nguvu nyingi?
😂😂😂 yupo na humu jf huyo jamaa?Kuna kajamaa kanajiita huku eti sixboy mnyama kafupi keusi.nlikuwa natokea pisifln yamaana ikawainachomoa kuda kuchek dp yake kapo hako na imagine kanasajili line na kuendesha tukutuku partime.
Duh!Bishoo anazipatia wapi nguvu?
Wote ni mabwanyenye!!Duh!
Kwahiyo wamekariri ni mabishoo wote?
Kajingakajinga hakaijui yaani nikafala ila hiyo pisi huiambii kitu ikaelewa nawaza lbda kun namna. Nltakaga kafanye mistake moja tu nikapige au nikafunge lkn dogo ananikubal kinyama😂😂😂 yupo na humu jf huyo jamaa?
Si afiki hili ila kwa kuwa ni maoni yako sipingi.Wote ni mabwanyenye!!
🤔🤔🤔 duh!wakati ww tajiri huko ukiwa OMBAELI, mm ni msela T*MBAELI wa tandale kwa mkunduge ndio maana wananielewa, full rough sex.
😂😂😂 yaani kuna muda unaona kabisa huyu malaya anafanya matumizi mabaya ya mwili wake, dah hawa viumbe basi tu.Kajingakajinga hakaijui yaani nikafala ila hiyo pisi huiambii kitu ikaelewa nawaza lbda kun namna. Nltakaga kafanye mistake moja tu nikapige au nikafunge lkn dogo ananikubal kinyama
Kaipenda nimemruhusu aitumie Hana Baya mdogo wangu Yule!Si afiki hili ila kwa kuwa ni maoni yako sipingi.
Nje ya mada, hivi imekuwaje Leejay49 akaweka kwenye avatar picha unayoitumia?
Mbaya zaidi kale kajamaa hakana hela ila kanaenjoy me ndomaana napendaga mishangazi sema huku nilipohamishiwa wote wananiona kijana mwema sanaa😂😂😂 yaani kuna muda unaona kabisa huyu malaya anafanya matumizi mabaya ya mwili wake, dah hawa viumbe basi tu.
Ahaa sawa.Kaipenda nimemruhusu aitumie Hana Baya mdogo wangu Yule!
🤣🤣🤣Mbaya zaidi kale kajamaa hakana hela ila kanaenjoy me ndomaana napendaga mishangazi sema huku nilipohamishiwa wote wananiona kijana mwema sanaa
Kazi nayo inachangia mkuu .🤣🤣🤣
Tafuta mshangazi wa jirani uuchane ukweli tu mkuu, tuendelee kula mema ya nchi, hivi vitoto vya buku bee akili zao wanazijuwa wenyewe.
Kwamba wanawapenda Bali nyie ni retirement plan yao yaani baada ya kugongwa wee wakichakaa nyie ndio pumnziko laoUjana tu, wakifa 28s wanaanza kutupenda sisi tusiovuta bangi
Ahaa.Kazi nayo inachangia mkuu .