Muimba SINGELI
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 4,211
- 10,850
- Thread starter
- #21
Sijalilia mkuu nimetafakari tu na kuona acha niulize sababu ya hili.Tajiri gani ww unalilia milupo, matajiri hawaliliii milupo anko
Sijalilia mkuu nimetafakari tu na kuona acha niulize sababu ya hili.Tajiri gani ww unalilia milupo, matajiri hawaliliii milupo anko
DON'T HATE THE PLAYER HATE THE GAMETajiri hasalimii.
Unakuta mtoto mkaliii halafu anatoka na mhuni yuko rafu rafu, mchafu kufuwa kipengele, kuoga hadi mvua imnyeshee, ananuka vumba saa ingine masigara bwege yanapita humo humo.
Halafu watu wa maana kama mimi Tajiri Sina BAYA tunaenda kutupa ndoano anatema.
Hivi huwa mna nini nyie wadada wa hivyo?
Sawa TajiriJohannesburg kwa sasa.
Sasa mm naona hakuna sababu maalum maana madem nao ni zengwe vigeugeu ww ishi na wale unaoelewana nao.Sijalilia mkuu nimetafakari tu na kuona acha niulize sababu ya hili.
Tajiri hasalimii.
Unakuta mtoto mkaliii halafu anatoka na mhuni yuko rafu rafu, mchafu kufuwa kipengele, kuoga hadi mvua imnyeshee, ananuka vumba saa ingine masigara bwege yanapita humo humo.
Halafu watu wa maana kama mimi Tajiri Sina BAYA tunaenda kutupa ndoano anatema.
Hivi huwa mna nini nyie wadada wa hivyo?
SawaDON'T HATE THE PLAYER HATE THE GAME
Call her Mama Ndege
Sawa kiongozi.Sasa mm naona hakuna sababu maalum maana madem nao ni zengwe vigeugeu ww ishi na wale unaoelewana nao.
Abee ndege mwananguCall her Mama Ndege
Jibu lake hili hapa Tajiri
View attachment 3376164
Nimekumisi sana, wewe hujanimisi?Abee ndege mwanangu
Dah natamani kukuuliza mambo mengi ambayo sisi tunayo ni yapi, lakini basi bhana.Hawanaga mambo mengi wale kama nyie smart and tajiri pipo.
Hutaki kuja kunisalimia huku kijijini mwananguNimekumisi sana, wewe hujanimisi?
Uko Kijiji gani maza?Hutaki kuja kunisalimia huku kijijini mwanangu
Nini kimetokea? Ina maana mkuu yule jamaa wa miaka 46 ni wewe?Call her Mama Ndege
Mimi ndiye 😎.Nini kimetokea? Ina maana mkuu yule jamaa wa miaka 46 ni wewe?
Maajabu haya Mama ndege kivipi!!Abee ndege mwanangu