kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,363
- 16,095
Ina maana hupajui kwenu, inasikitisha sanaUko Kijiji gani maza?
Ina maana hupajui kwenu, inasikitisha sanaUko Kijiji gani maza?
Ni mama kama mama, siyo mama la mama 😁😁Maajabu haya Mama ndege kivipi!!
Mama kama Mama au Mama la Mama???
😡😡😡 mkuu au na wewe ulishiriki kwenye figisu? Ngoja niwafungulie uzi wote mnaoingia anga zangu tuandae pambano tudundane.Mimi ndiye 😎.
Sema ukweli usinizunguke kama kichakaNi mama kama mama, siyo mama la mama 😁😁
Hilo ni jina tu mkuu halihusiani na kitu chochoteSema ukweli usinizunguke kama kichaka
Nimeshapakumbuka.Ina maana hupajui kwenu, inasikitisha sana
Kazi kweli kweliNimeshapakumbuka.
Ni nanjilinji 😀.
Fanya hivyo mkuu 😎😡😡😡 mkuu au na wewe ulishiriki kwenye figisu? Ngoja niwafungulie uzi wote mnaoingia anga zangu tuandae pambano tudundane.
Kijana ushapata ajira??Ujana tu, wakifa 28s wanaanza kutupenda sisi tusiovuta bangi
Humanity is work 😂Kazi kweli kweli
Mmmh unawaza vibayaa wee, LolUnaweza kula tigo
😂😂😂😂Wanakuwa wamepagawa na deliboloz....linawafikisha vizuri.
Anya mazoezi ya kutombering uwe mkali kwenye mechi
😡😡😡 Tayari sipo kwenye utaniFanya hivyo mkuu 😎
Ahaa ni jina tu, sawa.Hilo ni jina tu mkuu halihusiani na kitu chochote
Ni matani tu tajiri wangu 😀.😡😡😡 Tayari sipo kwenye utani
😂😂😂 wanatafakarisha sana.Ilifikia hatu nikiona pisi kalii kabisa naanza kwa kuidharau pili sitongozi kabisa yaani wanapendaga vitu vyakijinga sana.
Masikini mashine ifanye kazi kwa uweledi tu wala hakuna MATATAKama tajiri analia watoto wazuri hawamtaki je maskin watasemajeee 🤔🤔
YapAhaa ni jina tu, sawa.
Kuna kajamaa kanajiita huku eti sixboy mnyama kafupi keusi.nlikuwa natokea pisifln yamaana ikawainachomoa kuda kuchek dp yake kapo hako na imagine kanasajili line na kuendesha tukutuku partime.😂😂😂 wanatafakarisha sana.