Wadada/Wanawake JF wapo!! Verification

Wadada/Wanawake JF wapo!! Verification

Sasa mfano hapo nimlaum nani mkuu?? ubold siuoni tena
Mkewangu akijua jinsia yangu inatosha..

Nimekushangaa sana na wewe 4G LTE kuwa na akili hizi.! Ni sawa sawa na mwanaume anayetaka kujua ukubwa wa maumbile ya mwanaume mwenzake, unabaki unajiuliza tu "huyu mtu 'mzima' kweli"??
 
Back
Top Bottom