Wadada: wanaume warefu wanajisikia na wana dharau

Wadada: wanaume warefu wanajisikia na wana dharau

Mkuu, 6" kwa sasa ni wachache sana. Huwa nikiwa kwenye umati napenda Sana kujipima, sifiki 6" lakini nikisimama ni wachache wanaonizidi.. Kweli kizazi kinazidi kuwa na watu wafupi.

ndio hivyo mkuu....mtu mrefu anaanzia six feet kama urefu wa kaburi!!! sio kama mimi 5.5''
 
Kuna ukweli hapa.ila ni sababu wanajua wapo wachache nd wanasobokewa.refer demand curve,the lower the supply the higher the demand the higher the price..NO CETERIS PERIBUS!!hahahaa
 
unavyojibu basi kama umejipa huo urefu vile hapo umejikuta tu umeumbwa mrefu sijui ungekuwa umejiumba ingekuwaje?
Mi ni mwamaume mtrfu na futi tano na nusuu...mwanamkee anaesema toluuz tuna dharauu bhasii lazima awe ni dwarfism....so hatuendaniii...... apiteee iviiiiii
 
1 ft ni 30 cm.

Ft 5 ni 150 cm

Katika 177 ft ukitoa 150 ft zinabaki 27 ft.

27 ft divide by 30 ni 0.9

Ukifanya ''rounding off'' ndio unapata majibu kama yako. Lakini kimahesabu zaidi 1ft = 30.48cm of which hizo 0.48cm kwa kila foot brings a big difference ukitaka kuwa precise.
So 177cm divide by 30.48 gives you 5.807 feet. Wafupi tuna shida...lol
 
kwa nini ujisikie kadoda11 kwani usipojisikia utapungukiwa nini?after all kwani ni wewe ulijipa huo urefu na hao wafupi walijipa huo ufupi?
mkuu thanks for this "break the bank" opinion about tall men.never knew we're this magnetic to most women.
asante mungu kwa kuniumba mwanaume mrefu.5.6 si haba,nina haki ya kujisikia.lol
 
Last edited by a moderator:
WANAUME WAREFU NI WATAM SANA HASA KWENYE TENDO LA NDOA,KWANI MWANAUME YEYOTE MREFU HUWA BUNDUKI INAKUWA NDEFU,HIYO NDO RAHA YA MWANAMKE. VIFUPI VINATEKENYA. NI SAWA KUJIKUNA MGONGON NA KIJIT KIFUPI,USIPOFIKA SEHEM UNAYOHTAJ KUKUNA UTATESEKA. LAKINI KIREFU! Aah mbona safi?

cc: Madame B
 
Last edited by a moderator:
BABA YAKE MUFUPI...MAMA YAKE MUFUPI...LAKINI WAMEOATA KIJANA MUREFU AMETOKA WAPI???mkuu hivi unajua ukiwa mrefu kila kiungo chako kina kuwa kirefu
 
Mimi mrefu Handsome halafu nna pesa xo nnadharauuuuuu vidada vifupi vina jiskia xn hasa akipewa kashepu ka ulemavu baaaaaaasi
 
Back
Top Bottom