Wadada: wanaume warefu wanajisikia na wana dharau

Wadada: wanaume warefu wanajisikia na wana dharau

Watu warefu ni watu wakimya na waungwana sana....maumbile yana uhusiano sana na tabia...urakubaliana na Mimi kuwa wenzetu wafupi ni wakorofi, wababe na mara zote wanapenda recognition sana na ku force ku dominate ....ni haya tu kwa leo
 
Ngoja sie 'size ya kati' tuendelee kuangalia mpambano kati ya tolu na shoti...
 
Kuna mdada mmoja aliniambia kuwa aliwahi kutoka kimapenzi na wanaume watatu kwa nyakati tofauti-tofauti.
Mdada huyo ameniambia kuwa wanaume warefu wanakera, kwani wanajiona sana na kujisikia, pia wana dharau na hawapendi mazungumzo mengi kama watu wafupi walivyo.
Nimejaribu kuuliza kwa wa baadhi ya wadada wanasema kuwa wanaume warefu ni wazuri nje ila tabia zao sio, wengi wanawaona watu walio wafupi kama takataka. nimeona nililete kwenu wadada wa jf semeni kama kuna ukweli hapa.
Be serious.

Pitia huu uzi mkuu uone tabia za matulu https://www.jamiiforums.com/mahusia...aume-wafupi-wana-wivu-gubu-na-ni-wagomvi.html
 
sidhani kama tabia na maumbile vina uhusiano wowote
Uhusiano upo. Kwa mfano wengi wa watu wanaokuwa percieved kama intelligent huwa na kawaida ya kuwa na dharau sana. Nina uzoefu na hawa watu hivyo ninajua ninachokisema. Ila kuhusu dharau na urefu sidhani. Dharau kwa siku hizi ni pesa tu. Ndio maana kama unapesa hata ukiwa mfupi vipi utaheshimika tu.
 
WANAUME WAREFU NI WATAM SANA HASA KWENYE TENDO LA NDOA,KWANI MWANAUME YEYOTE MREFU HUWA BUNDUKI INAKUWA NDEFU,HIYO NDO RAHA YA MWANAMKE. VIFUPI VINATEKENYA. NI SAWA KUJIKUNA MGONGON NA KIJIT KIFUPI,USIPOFIKA SEHEM UNAYOHTAJ KUKUNA UTATESEKA. LAKINI KIREFU! Aah mbona safi?
 
kwa msisitizo umeandika kwa herufi kubwaaa
 
Wanaume warefu wanaringa sana wachoyo malaya aiii

Kyekue mnatusingizia Bana.
Huwa hatupendi kupiga makelele kama Andunjez.
Ndo maana mnatuchukulia kuwa tunaringa...
Pia siyo malaya, ila tunajithidi kuwapa fursa sawa warembo kudeti na sisi. Tukisema tubaki na mmoja kuna wengine tutawakosesha hii fursa...
 
mambo yetu ni tartibu kama twiga hatuna papala dat y tunaonekana hvyo mctuchafue bhanaaaa
 
Kyekue mnatusingizia Bana.
Huwa hatupendi kupiga makelele kama Andunjez.
Ndo maana mnatuchukulia kuwa tunaringa...
Pia siyo malaya, ila tunajithidi kuwapa fursa sawa warembo kudeti na sisi. Tukisema tubaki na mmoja kuna wengine tutawakosesha hii fursa...

Mimi nimeruhusiwa kusema uongo mi sijui
 
Mi ni mwamaume mtrfu na futi tano na nusuu...mwanamkee anaesema toluuz tuna dharauu bhasii lazima awe ni dwarfism....so hatuendaniii...... apiteee iviiiiii

Duh! Futi tano na nusu yaani 5'5 au 5'6 ambayo ndo futi tano na nusu na ni tolu, basi kweli urefu ni mtazamo tu wa mtu. Mimi ni 5'10 na sijioni tolu. Kama kweli we ni tolu kama jamii inavyodhani, basi pata vipimo vyako sahihi. 5'6 sio tolu.
 
Back
Top Bottom