2hery
JF-Expert Member
- May 27, 2011
- 4,700
- 4,633
warefu ndo mpango mzimaaaaaa! tena mrefu mweusi ndio oooh-ma-ma! (in sharo's voice).
Nakuona kwa mbali ulivyo na rangi nyeupe ya kuvutia.
warefu ndo mpango mzimaaaaaa! tena mrefu mweusi ndio oooh-ma-ma! (in sharo's voice).
Kimataifa mkuu.
mkuu thanks for this "break the bank" opinion about tall men.never knew we're this magnetic to most women.
asante mungu kwa kuniumba mwanaume mrefu.5.6 si haba,nina haki ya kujisikia.lol
sisi wafupi tuko poa sana.........leave us alone aaarggh
kwa msisitizo umeandika kwa herufi kubwaaa
Duh! Futi tano na nusu yaani 5'5 au 5'6 ambayo ndo futi tano na nusu na ni tolu, basi kweli urefu ni mtazamo tu wa mtu. Mimi ni 5'10 na sijioni tolu. Kama kweli we ni tolu kama jamii inavyodhani, basi pata vipimo vyako sahihi. 5'6 sio tolu.
Aaaah kumbe na wewe ni mfupi eeeh!
tolu anatakiwa aanzie futi ngapi sasa
Mmmm inaonyesha na wewe una vitabia vya andunje ingawa ni mrefu!
S mimi ww si umeniambia niseme uongo
at least 6 feet.
Banda la sungura mkuu
mkuu thanks for this "break the bank" opinion about tall men.never knew we're this magnetic to most women.
asante mungu kwa kuniumba mwanaume mrefu.5.6 si haba,nina haki ya kujisikia.lol
Hahahahahahahaaa! Tabia za andunje zitabaki kuwa za andunje! Na za tolu zitabaki kuwa za tolu!
Proud to be tolu!
Jiamini!
Tolu hoyeee?
at least 6 feet.
5,6 ft sio tall mkuu labda ungekuwa umefika 6ft.