Wadada: wanaume warefu wanajisikia na wana dharau

Wadada: wanaume warefu wanajisikia na wana dharau

kuna mdada mmoja aliniambia kuwa aliwahi kutoka kimapenzi na wanaume watatu kwa nyakati tofauti-tofauti. Mdada huyo ameniambia kuwa wanaume warefu wanakera, kwani wanajiona sana na kujisikia, pia wana dharau na hawapendi mazungumzo mengi kama watu wafupi walivyo.

Nimejaribu kuuliza kwa wa baadhi ya wadada wanasema kuwa wanaume warefu ni wazuri nje ila tabia zao sio, wengi wanawaona watu walio wafupi kama takataka. Nimeona nililete kwenu wadada wa jf semeni kama kuna ukweli hapa.

Be serious.
jichagulieni sasa.
 
Ukifanya ''rounding off'' ndio unapata majibu kama yako. Lakini kimahesabu zaidi 1ft = 30.48cm of which hizo 0.48cm kwa kila foot brings a big difference ukitaka kuwa precise.
So 177cm divide by 30.48 gives you 5.807 feet. Wafupi tuna shida...lol

Mkuu kwani unaurefu gani?
Kunasehem umesema haujafika 6ft but mara nyingi ukiwa na watu, wengi umewapita! Then hapa unasema wafupi mna shida!
 
Mkuu kwani unaurefu gani?
Kunasehem umesema haujafika 6ft but mara nyingi ukiwa na watu, wengi umewapita! Then hapa unasema wafupi mna shida!

Nimesema wafupi coz sipo kwenye kundi la warefu. Japo nikisimama na wengi naona kawaida tu. Nina 5.7" ndo maana najiita mfupi..
 
Nimesema wafupi coz sipo kwenye kundi la warefu. Japo nikisimama na wengi naona kawaida tu. Nina 5.7" ndo maana najiita mfupi..

Dah! Kweli sio mrefu! But sio mfupi! Na kwa kimo hiko usishangae baadhi ya watu wakikuita tolu!

kwa kipimo changu binafsi tall ni kuanzia 5.8 kwa wanaume!
 
Mie mrefu wastani lakini sina dharau mkuu,,,ila siwezi kujua maana waBongo tuna kasumba unaweza kumuona mtu hana habari na watu tayari wanakuambia una ringa!


Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
 
Very true...naongea Kwa experience wakaka warefu hovyo sana kitabia
 
zamani enzi za utoto nilikuwa nachukia kuwa mrefu, hasa kuitwa Tolo.! lakini sasa nauona urefu poa tu hasa ukizingatia products zote za mzee wamepanda hewani... Huwa nawatania ''Sifa ya kumuoa ndugu yangu lazima uwe mrefu''..
 
wanaume wenye pesa ndio wanajickia na wenye dharau si maumbile!!

sio pesa tu hata maumbile, mfano utajisikiaje pale utakapokuwa mfupi kwenye kundi la watu 20, ukisimama unawafika kwenye magoti yao.
 
Back
Top Bottom