Bzimana
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 554
- 162
Pimbi mnasikia kauli ya huyu tolu?
ha! Ha! Ha.!
Pimbi mnasikia kauli ya huyu tolu?
hahaha tanteeee familia nzima mi ndo short kwa hicho kipimo lol
Kuna mdada mmoja aliniambia kuwa aliwahi kutoka kimapenzi na wanaume watatu kwa nyakati tofauti-tofauti. Mdada huyo ameniambia kuwa wanaume warefu wanakera, kwani wanajiona sana na kujisikia, pia wana dharau na hawapendi mazungumzo mengi kama watu wafupi walivyo.
Nimejaribu kuuliza kwa wa baadhi ya wadada wanasema kuwa wanaume warefu ni wazuri nje ila tabia zao sio, wengi wanawaona watu walio wafupi kama takataka. nimeona nililete kwenu wadada wa jf semeni kama kuna ukweli hapa.
Be serious.
dah!kumbe mama etu(mama neddy)akinyosha shingo anaiona kesho!teh teh teh
Mbona nimekupa access ya kuja pm hujaja?
Kuna vijitu vifupi vinadharau ka nini ukute kimechomekea suruali ina upanga wa kutosha mbn utakoma nacho!!
na hapo ndio bado hujabalehe.
mimi huko naogopa
maneno ya mkosaji,Wanaume warefu wanaringa sana wachoyo malaya aiii
kwa mujibu wa wikipedia, watu wa tanzania wana wastani wa urefu wa 156.6 cm (5 ft 1 [SUP]1[/SUP]⁄[SUB]2[/SUB] in). zaidi ya hapo anasemekana ni mrefu, chini ya hapo anakuwa ni mfupiNini kipimo cha mtu kuwa huyu n mfup na huyu mrefu
dharau sio jambo jema
sio tu kwa wafupi hata kwa watu wengine
Ni kweli bhana,tena akiwa mrefu na mweupe,pozi zake sasa,utachokaaaa !!!
wamekupitia sana nini mankawawe nadharau jeuri kiburi lakin nawaelewa sana hawa watu
Funguka vizuri.