Aurora
JF-Expert Member
- May 25, 2014
- 7,308
- 5,275
It is ur opinion but pyschology prove that tall & short people they have different people psychologically.
let me just assume that i have understood what u wrote
It is ur opinion but pyschology prove that tall & short people they have different people psychologically.
Sina mfano hai labda niongee uongo kama nitaruhusiwa
Je hiki kiwango ni kwa mujibu wa taasisi fulani ya kitaifa au?
Hizo ni hisia tu ukute hata mtu hajiskii wewe wamwazia kuwa anaringa tatizo la wengi inferiority complex basi hamna dharau wala nini
Hahahahahaaa! Mti wenye matunda ndio hutupiwa mawe! Tunajua hizo ni kasumba za wafupi kutuharibia jina! Teh teh teh!
Tolu hoyeee?
Naturally watu wafupi hawajiamini hii inapelekea kufanya warefu waonekane wanajidai, wanadharau maana wanajiamini
Access granted.
Pimbi mnasikia kauli ya huyu tolu?
Wanaume warefu wanaringa sana wachoyo malaya aiii
Mapimbi na ninyi muje hapa mseme wenye kama kweli tolu zinawadharau.
dwuh tumekukosea nini we mtoto.....
Wadada wa jf semeni
hivi urefu wenye uzuri na kupendeza ni size gani?
mimi nina 1.9 m mpaka sasa...