Ufupi upi, size ya Mtikila au?
jiheshimu wewe inamaana mtikila ndo mfupi peke yake, kauli zako ztakupeleka pabaya jitazame TCRA watanisaidia kukusaka
Ufupi upi, size ya Mtikila au?
Tabia zetu ni wapole na hatuna maneno mingi ila ni wacheshi tatizo la hao jamaa wakimo cha kiberiti hawajiamini na ndio mana wanaongea sanaaaa viandunje ni janga.
hahahaaaa labda
Hiii ni kweli kwangu 🤔🤣Kuna mdada mmoja aliniambia kuwa aliwahi kutoka kimapenzi na wanaume watatu kwa nyakati tofauti-tofauti. Mdada huyo ameniambia kuwa wanaume warefu wanakera, kwani wanajiona sana na kujisikia, pia wana dharau na hawapendi mazungumzo mengi kama watu wafupi walivyo.
Nimejaribu kuuliza kwa wa baadhi ya wadada wanasema kuwa wanaume warefu ni wazuri nje ila tabia zao sio, wengi wanawaona watu walio wafupi kama takataka. nimeona nililete kwenu wadada wa jf semeni kama kuna ukweli hapa.
Be serious.